Hapa kushusha presha za watu kuna watu wanaweza kupoteza haki zao au kuwekwa sehemu ya serikali ya CCM kuonekana kuwa utekaji ni wananchi.
Hii ripot ya Mbeya, Iringa na sasa kuna watu washawekewa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022...
Yer 13:23 SUV
[23] Je! Mkushi aweza kuibadili ngozi yake, au chui madoa-doa yake? Kama aweza, ndipo na ninyi mwaweza kutenda mema, ninyi mliozoea kutenda mabaya.
Nabii Yeremia ametumia picha...
Kutoka kwenye account ya Hilda Newton kule X ameandika taarifa hii
==================
Mjumbe wa Kamati Tendajji ya Chadema Wilaya ya Busega Mhe. Lobezi Kuliko Masanya ametekwa na watu...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Igawilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Msole Sanga amepongeza jitihada za Dkt. Tulia Ackson kwa namna alivyowasaidia wananchi wa kata hiyo pamoja na Jimbo...
Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa watanzania kuwa wavumilivu kwa changamoto ya uchache na ubovu wa mabasi ya mwendokasi kwani changamoto hiyo inakwenda kupatiwa...
Ndugu WanaJF,
Mungu ni muuaji ambaye amefanya mauaji ya halaiki mara kwa mara na wote tumeyasoma kwenye simulizi za biblia.
Pamoja na hivyo, bado shetani analaumiwa zaidi kwa kudaiwa...
Wakuu kuna ile hofu inanitawala akilini mwangu kuhusu hali ya kipato stahimilivu (income sustainability).
Hivi nikipoteza kazi leo, mchongo, serious accident even death mke wako or mumewako...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonyesha kutoridhishwa na kusuasua kwa mradi wa ujenzi wa mabweni mawili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Ifingo, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya...
Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa...
Baada ya kuona vurumai lililotokea usiku wa leo na chap hatua za haraka zimechukuliwa ikiwemo kuwatengua baadhi ya staffs na kuongeza mwendokasi ,ili kupunguza mihemko kwa wananchi.
Kiuhalisia...
IGwe!
Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's.
Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote...
Septemba 29, 2025 Serikali ya Tanzania, Zambia na China walisaini mkataba wenye thamani ya dola bilioni 1.4 ( Takribani Trilioni 3.4 Tshs) kwa ajili ya ukarabati wa reli ya Tanzania-Zambia...
Bila shaka umeshasikia mtu kaua mtu kwa kuwa anamdai mtu buku au hela chini ya buku. Wengine hata kufikia hatua ya kuua watoto wao kwa makosa yanayohusika na kupoteza kiwango hicho kidogo cha...
Mtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Mwinyi ambae ni Kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi Leo Septemba 25 amefariki Dunia akiwa Hospitali...
Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam imemhukumu Josephat Joseph Waitara Mwenye umri wa miaka 27 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya...
Akiwasilisha ripoti yake kwa Rais, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, Charle Kichere ameeleza kuwa mashirika 12 kati ya 217 yaliyokaguliwa yametumia Bilioni 371 katika matumizi...