Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu ni mtazomo wangu tu viongozi kupita kwa carpet hasa africa ni kuepuka kuchotwa nyayo za miguu kama hivi.
1 Reactions
13 Replies
440 Views
Katika kipande hiki cha video, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anaonekana akijigamba huku akimnadi mgombea udiwani wa jimboni kwake kwa kuwataka wananchi wamchague sababu ameshikana mkono na mtia...
1 Reactions
12 Replies
456 Views
Mbeya vyakula ni bei nafuu lakini amini nakwambia kuna watu wamelala na njaa huko Mbeya. Ukiwa na access ya kupata milo mitatu per day brother wewe umefanikiwa tembea kifua mbele mengine ni minor...
5 Reactions
13 Replies
494 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza leo Oktoba 4, 2025 Kwenye Kongamano la Mawakili Wanawake kuelekea Uchaguzi Mkuu amesema "Hakuna Taasisi inayokulipa mshahara kwa ajili...
1 Reactions
12 Replies
467 Views
Leo katika kusoma soma Zangu ni mekutana na hili, ni kakosa jibu ila nina wakika hapa jf sitakosa wana teolojia wasie endeshwa na mihemko ya Imani kunipa jibu. Mwandishi wa Injili ya kwanza...
2 Reactions
10 Replies
588 Views
Akaunti ya bank inaonyesha mtoto wa Kada wa CCM ana zaidi ya billion 25 bank, je mama yake atakuwa na shingapi?? Kama huyu ana zaidi ya b25 na majumba ya kifahari na magari ya mabilion dullyboy...
18 Reactions
72 Replies
3K Views
Wakuu habari za jioni. Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu. 1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo. 2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma...
2 Reactions
69 Replies
3K Views
Na Thadei Ole Mushi. Walimu wa nchi hii asilimia 90 uliwaambia kwa nn Viongozi wa CWT huwa wanapigana wenyewe kwa wenyewe hawawezi kukuambia na wala hawajui chochote. Nataka leo usijiulize...
13 Reactions
60 Replies
6K Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne, amesema mbali na Mabasi ya Mwendokasi na Vituo vinne vya Mabasi hayo kupigwa mawe usiku wa jana, baadhi ya Wananchi hao walifanya...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakili wa kujitegemea jijini Mwanza, Willbard Kilenzi ameishauri serikali kuwasaka na kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya watendaji wa umma wanaovujisha nyaraka za serikali kwa watu...
1 Reactions
2 Replies
177 Views
Taharuki imetanda kiwanda cha Wakulima wa Chai kilichopo Katumba wilayani Rungwe mkoani Mbeya kufuatia wafanyakazi 216 kuandamana kwa mabango kupinga kufukuzwa kazi wakidai stahiki zao, huku...
3 Reactions
0 Replies
272 Views
Mabasi Mapya yaendayo haraka ya Kampuni ya Mofat yameonekana asubuhi ya leo (2/10/2025) yakibeba abiria katika vituo vya mwendokasi yakitokea Gerezani kwenda Kimara-Mbezi. Hii inakuja siku moja...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na...
2 Reactions
6 Replies
384 Views
Habari . Leo mtaani amekuja mkuu wa wilaya pamoja na jeshi la polisi kumkamata mtoto wa miaka 12 Ambaye anaishi na kaka yake kwa kosa kupandisha bendera ya Canada kwenye mti ambao upo hapo...
8 Reactions
183 Replies
17K Views
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi huko nchini Tanzania imeanza kutoa majina kwa wilaya tofauti kwa ajili ya usahili , wasimamizi wa uchaguzi ngazi za wilaya watakuwa na jukumu la kuwafanyia usahili...
1 Reactions
4 Replies
471 Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 wilayani Mafinga kampuni ya Jandu Plambers LTD kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi ili kufanikisha hitaji la...
0 Reactions
2 Replies
275 Views
"Kunakuwa na Mlundikano wa vijana wanalalamika, hamna ajira ni uvivu wa kufikiria wa vijana wengi tuliokuwa nao, tunailaumu sana serikali lakini hatujitoi, we unamtandao wa kijamii unashinda huko...
1 Reactions
5 Replies
200 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewaonya Wakandarasi wanaochekelewesha ameonesha Miradi ya Maendeleo na kuonyesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekataa maelezo ya Mkandarasi na kumtaka aoneshe vitendo zaidi katika kazi ya utekelezaji wa mradi wa maji miji 28 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi; unaogharimu...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza kwani miradi mingi...
0 Reactions
2 Replies
353 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…