Watu wana faranga bhana

Watu wana faranga bhana

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,805
Reaction score
18,214
Akaunti ya bank inaonyesha mtoto wa Kada wa CCM ana zaidi ya billion 25 bank, je mama yake atakuwa na shingapi??

Kama huyu ana zaidi ya b25 na majumba ya kifahari na magari ya mabilion dullyboy atakuwa na shingapi?

Leo nimeamini deni la taifa linaweza kulipwa na watu watano tu
 
Hio ni CRDB pekee , account kutoka bank zingine ana kiasi gani?

Account alizofungua nje ya nchi zina kiasi gani?

Si kweli kwamba anamiliki hii account pekee, hawa wameweka pesa hadi kwenye crypto, nina uhakika, wameweka pesa kila mahala...
 
Inasikitisha sanaaaa, inawezekana hiyo ndio account yenye pesa kidogo kuliko zote
 
Back
Top Bottom