Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeeleza kuwa ipo tayari kushauri mamlaka husika kutunga sheria itakayoruhusu wauzaji na wasambazaji wa dawa za kulevya nchini...
Hilo swali niliuliza CHATGPT na haya ndiyo majibu yake....
Simulizi za watu waliokaribia kufa (Near-Death Experiences - NDEs) kwa kweli ni za kuvutia sana na mara nyingi huwa na mambo...
Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema...
Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa...
Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Sisi ambao ni mpaka uingie mjini ndo upate hela ya kula yaan usipoingia mjini basi huli, huwa mda mwingi ni waoga sana.
Baada ya leo kupata...
Wangapi wameomba Mungu wasipate kitu?
Wangapi hupatwa na woga wanapoambiwa hasira na visasi vya Mungu/
Wangapi wameibiwa hata kuharibiwa maisha kwa jina la Mungu?>
Wangapi wana wasi wasi hadi...
Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu
Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na...
Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za...
Sina maneno mengi.
Jeshi la Wananchi wa Tanzania nyie ndiyo wenye last action juu ya ulinzi wa kila kitu kilichopo ndani ya nchi hii, chini majini au juu ya uso wa dunia ndani ya mipaka ya taifa...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Uzi huu ni kwa ajili ya yanayojiri Tanzania baina ya mtawala mmoja na wananchi wake ambao hawataki kumpigia kura lakini yeye anasema lazima...
Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smartphone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa...
Sarah Mullally (63) ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu mpya wa Kanisa kuu la Waanglikana la Centrebury lililopo Nchini Uingereza na sasa anakuwa Kiongozi wa Waumini takribani milioni 85 ulimwenguni kote...
Kwa sasa kama ni mbwayi ni mbwayi. Pale Oystabey polisi ndio kikosi kilichomo na namba zao naanza kuziweka hapa kama wasipo muachia Polepole.
Na hiki kikosi kilitengenezwa kipindi cha Jakaya na...
Nitaweka mfulizo wa posts za Sativa kutoka kwenye ukurasa wake wa Twitter akimshutumu ZCO Faustine Mafwele kuwa ndiye kinara wa utekaji na uuaji unaotekelezwa na taasisi za Serikali dhidi ya...
Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo...
Uzi huu ni kwa wale waona mbali tu. Wale waliibarikiwa kipawa na Mwenyezi Mungu cha kuweza kuona yajayo.
Kwa upepo unavyoenda, ni matukio gani makubwa unahisi yanaweza kutokea kuanzia sasa mpaka...
Unatuaminisha kuwa upo Tanzania.
Ila ukweli ni kwamba hapo Tanzania ila kama upo Tanzania usijaribu kUshiriki mazishi ya ndugu ndugai
Ukifanya ivo ndio itakuwa safari yako ya mwisho wa maisha...
Nilidhani Edward Snowden angetumika katika Mbinu alizotumia ili Wapuuzi wengine yasiwakute, ila ikawa ni Kinyume huku tukiwa na maneno ya Ujivuni kuwa NINAJIAMINI na NIMEPIKWA vyema na kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.