Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
📚 MWENDELEZO WA ELIMU ZA SIRI 📚 NAMBA, MAUMBO NA ISHARA sehemu ya 1️⃣ Kwa wiki tatu mfululizo tumekuwa tukijifunza Elimu ya Namba, tukiona jinsi namba zinavyobeba...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??. Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua...
2 Reactions
26 Replies
776 Views
Leo acha NIWAPE Cha uvunguni kabisa wajukulu wangu 👴🏾 👴🏾 ambacho watu wachache wanacho ila wamekificha Mimi sina baya . SIRI ZA MAANDIKO: UTAFSIRI WA NDANI (CODED LANGUAGE)...📖📖📖 Utangulizi...
3 Reactions
2 Replies
516 Views
Nimeona clip moja mtandao, ikionesha kupostiwa na Msanii na Naibu waziri wa Michezo Hamis Mwijuma (MwanaFa) akionesha magari makali ya mwaka wa mbele kabisa, haya magari ni yale ya bei kubwa kubwa...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
"MIMI ningewaasa vijana wasidanganyike, wakidanganyika tutaenda pabaya, tubaki palepale kwa mwalimu, mwalimu alipenda amani." Judith Kasian mkazi wa Butiama
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Tumsifu Yesu Kristo! Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo. Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la...
2 Reactions
4 Replies
579 Views
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir Ali amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuhubiri na kulinda amani ya nchi, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa Uislamu na...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Ikiwa leo ni Siku ya Afya ya Akili Duniani, Msaikolojia Tiba wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Arafa Ali Arajiga, amesema ugumu wa maisha ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Ni hatari sana, hawa madogo wa sasahivi ni tofauti na wa miaka iliopita.
0 Reactions
1 Replies
125 Views
Yer 20:18 SUV [18] Nalitoka tumboni kwa sababu gani, kuona taabu na huzuni, hata siku zangu ziharibike katika aibu? Uchungu mzito ulimvaa nabii Yeremia, uchungu uliosababishwa na mateso mengi...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Habari zenu wana jf! natumai ni wazima wa afya. Nimejikuta muhanga katika changamoto hii iliyojitokeza kwa wahitimu wa mwaka wa masomo 2023/2024 kwani vyeti vya matokeo( academic tanscript) kwa...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu, Kama ilivyo kawaida ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutumia wananchi ujumbe kuhusiana na masuala ya kupokea, kutoa na kukataa rushwa lakini pia kuziripoti, leo na...
0 Reactions
4 Replies
177 Views
Lucas Mwashamba ambaye nashangilia kuhusu ufungwaji wa vyombo vya habari ila ni mmoja kama walivyo idara kubwa za serikali wakitaka kuonesha comment ni kimya. Hawa watu wanatumia mamilioni ya...
2 Reactions
7 Replies
270 Views
Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh! Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au? Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
6 Reactions
18 Replies
531 Views
Nilikuwa na PROJECT ambayo ninge launch tar Saba mwezi huu ila sababu ya uchaguzi na Yale yanayo endelea nchi I nikaona nisitishe ili nisiwe miongoni ya watu wanao watoa kwenye reli Kwa masilahi...
0 Reactions
4 Replies
209 Views
Kifupi Azam TV wamefungia UTV sio Bure Tena, tafadhali msije mkafungia na local channel nyingine mtaua bendi.
7 Reactions
34 Replies
2K Views
SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka. Meneja Mkuu wa shirika hilo, Ashiraf Abdulkarim ametangaza...
0 Reactions
1 Replies
196 Views
Jinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom