Moja kwa moja
Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati...
...habari wakuuu...hili suala limekuwa likijitokeza Mara...Kwa mara ....utakuta mtu unamjua kabisa tena pengine mlicheza wote udogoni...lakini unashangaa mwenzio miaka inarudi nyuma...kila siku....
NO REFORM NO ELECTION
1. Kaini na Abeli walikuwa watoto wa kwanza wa Adamu na Eva.
Kaini alikuwa mkulima alipanda mimea na mazao.
Abeli alikuwa mchungaji alifuga kondoo.
2. Wote wawili...
Maswali kadhaa niliyoyapata baada ya Kuitizama na kusikia Jirani mmoja wa Kike akitiririka ni kama yafuatayo....
1. Kumbe nyumba hiyo aliipangisha na siyo yake sasa kwanini mwenye Nyumba kasema...
Nimekuwa nikilifuatilia hili swala la internet kuzimwa kila ifikapo jioni, na siku ya leo nilitega alarm kabisa ili nithibitishe! Na imekuwa vile nilivyotarajia!.
Uoga huu wa (serikali) ni juu ya...
Kwanza kwa nafasi alizoshika na hadhi yake, ni vigumu mno kwa mtu kama yeye kuuawa kirahisi, nitafafanua kwa nini hilo ni gumu kutekerezwa,
Polepole hakuwa mtu wa kawaida. Ni senior citizen...
Hivi hata kama kuna uhuru wa kuabudu kila mtu kwa imani yake, je serikali imewapa nguvu ya kufanya fujo??
Kuna makanisa mengi saana mitaani siku hizi, na wanayaweka katikati ya makazi ya watu...
Kuna rafiki yangu mmoja, kati ya mwishoni mwa miakaya 90 na mwanzoni mwa mwaka wa 2000 alizamia kwenda Ulaya. Safari za kipindi hicho ilikuwa za kibabe kweli mtu anaanza safari hana hata...
Habari wakuu,
Najua fika kuwa ni watu wachache sana wenye uwezo wa kiufundi kama huu wangu wa kuunda na kuikamilisha mifumo inayoweza kuhudumia mamilioni ya jamii,
ninacho jivunia siyo utajiri...
Bible Code ni nini?
Bible Code ni mbinu ya kuchukua herufi katika umbali fulani (kama kila herufi ya 7, au ya 50, nk) katika maandiko ya Biblia ya Kiebrania, na kupata majina, maneno au matukio...
Habari za jioni wakuu
Leo nimeona nimzungumzie huyu kiumbe mashuhuri anaye itwa mwanaume
Kiumbe huyu mungu kamuumba kwa namna ya tofauti Sana na utofauti huo siyo sura yake ambayo akiwa kwenye...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kufuatilia hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi katika maeneo...
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dkt. Janet Lekashingo, amefanya ziara ya siku moja wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo ametembelea maeneo ya uwekezaji wa madini katika miradi ya Liganga na...
Habari Tanzania !
Wizara ya Maji mnaonaje pawepo na "Water Pipeline" nchi zima kwaajili ya Uunganishaji wa maji kwenye Mikoa yote.
Watu waburudike wafurahie nchi yao.
Wizara ya Ujenzi na...
Purpose ya cross examination ni kuonesha udhaifu wa shahidi ie to discredit his evidence.
1. Nadhani Lisu ameweza kuonesha kuwa shahidi ni mwongo! Alikuwa anakataa vitu ambavyo kama mpelelezi wa...
Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).
Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.