Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yer 19:8 SUV [8] Nami nitaufanya mji huu kuwa kitu cha kushangaza watu, na kuzomewa; kila mtu apitaye karibu nao atashangaa, na kuzomea kwa sababu ya mapigo yake. Hapa tunaona Nabii Yeremia...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Katika banda moja lenya watu wengi kwenye Mkutano wa 7 wa CAC Africa uliofanyika jijini Nairobi, Kenya, Brighton Kisero anachunguza kwa makini chupa ndogo ya viuatilifu vya kibaiolojia. Kwa...
1 Reactions
1 Replies
282 Views
Gari la askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji visiwani Zanzibar, limepata ajali na kusababisha kifo cha askari mmoja huku wengine wakijeruhiwa. Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji visiwani...
0 Reactions
4 Replies
302 Views
Mume na mke wakazi wa Kijiji cha Gidimadoy, Kata ya Maga, Tarafa ya Haydom, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na kulipa faini ya Shilingi milioni...
1 Reactions
6 Replies
663 Views
Gari bhana. Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki. Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo. Gari ni kama...
32 Reactions
202 Replies
22K Views
Polepole katekwa halafu yale yanayohamasisha maandamano yanasema eti tusubiri tarehe 29 hivi haya majitu yana utu kweli yaani mtu ametutetea kaacha ulaji wake hata kuhamasisha wananchi tuingie...
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Kikosi cha Polisi Wanamaji Zanzibar kimepokea boti mpya ya kisasa kwa ajili ya shughuli za doria, operesheni na uokoaji kwenye maeneo ya baharini. Zoezi hilo la makabidhiano limefanyika leo...
0 Reactions
4 Replies
219 Views
Wakili Peter Kibatala akieleza kinachoendelea Mahakamani kuhusu maombi waliyopeleka Mahakamani kuhusu kutaka Polepole anayedaiwa kutekwa kufikishwa Mahakamani. Credit: Global tv
1 Reactions
4 Replies
204 Views
Hakuna aliye salama. Kama mzazi wako ni mchawi, usicheke sana unapoona anamaliza majirani. Watakapokwisha ataanza na wewe.
4 Reactions
7 Replies
317 Views
Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikikabiliwa na changamoto kubwa za huduma za afya, ikiwa ni pamoja na uhaba mkubwa wa wataalamu na ukosefu wa miundombinu. Licha ya msaada mkubwa wa kimataifa...
0 Reactions
2 Replies
223 Views
Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani...
0 Reactions
3 Replies
298 Views
Hivi karibuni Trump amepitisha sheria kwa baadhi ya nchi raia wake wakiingia Marekani waingie kwa Visa bond. Imewekwa bayana ni dola5000 naomba anayejua hii maana yake nini hasa.
1 Reactions
4 Replies
250 Views
Ushirikiano kati ya China nan chi za Afrika umegusa maeneo mengi ikiwemo sekta ya elimu. Kupitia ushirikiano huo, China imejenga, kukarabati, ama kutoa msaada wa aina mbalimbali katika shule...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
  • Featured
Dr Jane Goodall, mtaalamu mashuhuri wa masuala ya sokwe na mwanaharakati wa uhifadhi, amefariki dunia, kwa mujibu wa taasisi yake ya uhifadhi. Alikuwa na umri wa miaka 91. "Taasisi ya Jane...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Wataalamu wa mikopo jaman nipeni app ya kupata hela chap
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu! Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu: ‎ ‎“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na...
1 Reactions
6 Replies
308 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya rufaa iliyokatwa na Clinton Damas maarufu Nyundo na wenzake watatu hadi Oktoba 21, 2025, kutokana na sababu za dharura. Hukumu...
2 Reactions
9 Replies
449 Views
Tanzania na China ni nchi ambazo zimekuwa zikiimarisha uhusiano wao ulioanza tangu enzi na dahari. Uhusiano huu umejengwa katika misingi imara na isiyotikisika, ambapo mbali tu na kujikita kwenye...
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Back
Top Bottom