Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimezaliwa nimeikuta Tanzania yangu yenye Amani na sitaki kamwe niishi katika Tanzania yenye Machafuko na Vita kwa sababu tu ya Maslahi ya Watu fulani kutokana na Agenda zao zenye Chuki, Hasira...
1 Reactions
34 Replies
983 Views
Diaspora nchini USA walipanga maandamano yatakayofanyika ubalozi wa Tanzania nchini USA Washington DC tarehe 17 Oct ambayo ni kesho. Mange anasema akiwa anaelekea getini kuelekea kupanda ndege...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Maandamano yetu yawe ya amani hatupigi kura hadi reform zifanyike sasakm tume ni yao, majaji ni wao unategemea watashindwa ?? Tayari NIDA wamepewa magari 140 ya nini?? ili yasafirishe nini...
3 Reactions
9 Replies
339 Views
Ni dhahiri kwamba baada ya JF kupigwa ban members wengi wamekimbilia kwenye mitandao mingine. Natumai kuwa membaz wengine wako Facebook, X (Twitter), na Instagram hiyo siyo shida sana. Shida ni...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
You have to speak the truth You have to speak your mind Every time I speak my mind I'm lyrically critical The pinnacle of being revolutionarily pivotal Beyond anything ever studied thats...
3 Reactions
5 Replies
482 Views
Sijui ni lini na mimi ntakuwa na furaha maishani, Furaha yangu ilitoweka pasipo kujua baada ya kumpoteza mama yangu miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana. Maisha niliyopitia kutoka kwa...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Yani hawa walikamatwa na nani? Maana ukisikiliza maelezo ya huyu mzee anadai kwamba walikamatwa ila ndio hatujui ni wakina nani? Je, ni kuna dili walilicheza ambalo walikwenda kinyume cha...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Basi kampuni ya Mohammed Classic ya kutoka Arusha-Kigoma imepata ajali Eneo la Gehandu Hanang mkoani Manyara. ============================== Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Wakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu. Moja kwa moja kwenye mada. Kama kwicha cha mada hapo juu tujichoreni tatoo...
2 Reactions
14 Replies
557 Views
Queen Masanja: "Bora nirudi kwa Mume wangu kuliko hawa Vijana wa siku hizi!". Msanii maarufu wa Bongo Movie, Queen Masanja, ambaye pia ni aliyekuwa Mke wa Dkt. Juma Mwaka, ameibua mjadala mkali...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Eti wadao mimi sijaona mgombea mwingine wa Urais akifanya Kampeni, Je nauliza Samia anashindana na nani? Au watu Millioni 60 nchi nzima hakuna mtu anayeweza kuchuana na Samia. Maana kuanzia...
5 Reactions
13 Replies
426 Views
Leo, tarehe 10 Oktoba 2025, maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mkoa wa Mjini Nagharibi Unguja wameungana na vyombo vingine vya ulinzi na...
1 Reactions
3 Replies
312 Views
Maombi kwa awaye yote. Mwenye nguvu. Yangetokea maajabu kwa ndugu Polepole mfano wa yanayo watokea makasisi sijui mapadre wa Katoliki ya kupotea kisha kuokotwa siku kadhaa wakiwa hai huku wana...
3 Reactions
4 Replies
317 Views
Mwanakijiji wa kijiji cha Mawa, kata ya Hanga wilayani Namtumbo, amefunguka kuhusu Padre Camillius Nikata wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, aliyepotea tangu Oktoba 9. Mwanakijiji huyo...
1 Reactions
14 Replies
779 Views
Siku ya pili mtandao wa vodacom upande wa MPESA unasumbua sana. Sisi wafanyabiashara na watu wanaoutegemea tunataabika sana. Alafu hayatoi taarifa wala nini.
5 Reactions
13 Replies
519 Views
Tuombe Mungu usiku upite salama, Israel anazengea kwenye viunga vya Nyumbani kwa aunty LuLu, kaweka ujumbe kwenye Instagram usiku huu wa manane 👇 Msiomjua Aunty LuLu ni huyu
12 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu, Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia? Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi...
5 Reactions
17 Replies
765 Views
GT Aisee hii inafanya watu tusiwe na moyo wa kusaidiana aisee.
5 Reactions
8 Replies
475 Views
Wanafunzi wahitimu kutoka Vyuo vikuu wametakiwa kuwa mabarozi wazuri wa maadili, nidhamu na maendeeleo kwakutumia elimu na teknologia waliyoipata kuleta suluhisho kwa changamoto za jamii na siyo...
1 Reactions
9 Replies
302 Views
Back
Top Bottom