Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakitoa heshima za Mwisho kwa Mwili wa Waziri Mkuu...
2 Reactions
4 Replies
307 Views
Aibu sana kwa mtu mwanaume tena mwengine anaweza kuwa baba wa familia anafanya challenge za kipuuzi tik tok utadhani demu .
13 Reactions
174 Replies
4K Views
Wakuu. Nimewaita mara moja, mimi ni mdau mzuri wa mitandao ya Simu hususani mtandao pendwa wa Airtel ila kwa siku za hivi karibu mtandao wa Airtel umekua na sintofahamu hususani kwenye upande wa...
0 Reactions
2 Replies
565 Views
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani, wamepanga kufunga kambi ya wakimbizi ya Nduta na Nyarugusu kwa upande wa wakimbizi kutoka nchini Burundi ifikapo...
1 Reactions
2 Replies
591 Views
Kwa anaejua kiarabu nina mabosi wa kiarabu natka kuwatapeli watume pesa kwamba tunajenga miskiti afuu tunazila niao wawili ila mm lugha ndio sijui wasaudia anaejua kiarabu Ani dm tutagawana pesa...
5 Reactions
12 Replies
633 Views
Yer 27:15 SUV [15] Kwa maana mimi sikuwatuma, asema BWANA, bali wanatabiri uongo kwa jina langu; nipate kuwatoeni nje, mkaangamie, ninyi, na manabii hao wanaowatabiria. Onyo hili la Yeremia...
1 Reactions
2 Replies
229 Views
Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi...
1 Reactions
4 Replies
408 Views
Habari ya mjini ndiyo hiyo: mimi ni mtoto wa Mfalme; ndiyo sababu natembea kifua mbele!
10 Reactions
98 Replies
3K Views
Wakuu ambao bado mpo macho mpaka muda huu nawasalimu, poleni na majukumu. Kama kichwa habari kinavyojieleza, ni rai natoa Kwa madereva wote wa magari binafsi,magari ya abiria,bajaji na pikipiki...
5 Reactions
4 Replies
546 Views
MAZOEZI YA PAMOJA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA USALAMA KWA JAMII Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama limefanya mazoezi ya pamoja ya kutembea na...
1 Reactions
10 Replies
407 Views
Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu...
1 Reactions
3 Replies
290 Views
"Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika, wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru. Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2 watawaua na...
0 Reactions
3 Replies
185 Views
gabapentin, lamotrigine, levetiracetam, pregabalin, and topiramate... hii chemistry!...hizi ni baadhi ya medics hatari sana kwa afya ya akili, ambazo mtu mzima na afya yake hapaswi kupewa...
4 Reactions
24 Replies
904 Views
Kazini kuna kazi! Kijana kaona asepe na bango Ila watanzania kama kuchoka tumechoka! Sijui hili genge la watekaji na wauaji wanaelewa?
2 Reactions
6 Replies
489 Views
KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema hakuna Mtanzania atakayekubali kuandamana Oktoba 29 kwasababu hakuna msingi wa maandamano yanayotajwa. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye...
0 Reactions
3 Replies
190 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu kifungo cha maisha Hamisi Jamali Mkufya (22) na Abdallah Sebo (20), wakazi wa Mbugani, kwa kosa la kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa...
8 Reactions
106 Replies
3K Views
KISA CHA MTU ALIYEUA WATU 99 Kisa cha mtu aliyeua watu 99 kisha akatubu Mtume Muhammad swallallahu alayhi wasallama amesema: Miongoni mwa waliokuwa kabla yenu, kulikuwa na mtu aliyeua watu...
3 Reactions
4 Replies
311 Views
Naowaona wako busy tu na simu zao huku watu wengine wakiwa makini kusikiliza maudhui ya msiba. Hebu angalia picha yao hapa chini.
1 Reactions
3 Replies
310 Views
Oktoba 18 na 19, 2025, maelfu ya wakazi wa jimbo la Illinois, New York, Washington DC, Chicago, Miami na Los Angeles, Boston wamejitokeza mitaani kushiriki maandamano ya “No Kings” yanayofanyika...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Hizi kesi za kubaka ni za mchongo kama mwanaume ukiona mwenzako kapata janga hili usimuhukumu Mim nafanya Kazi chombo kimoja apo Cha ulinzi na usalama, Binadamu wabaya sana
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Back
Top Bottom