Elimu yetu imejikita kwenye kukariri badala ya kutengeneza wabunifu. Miradi mingi tunayotekeleza ni ya “kupokea” — si ya “kubuni.” Tunapewa mikopo, hatuundwi kuwa wabunifu; tunafundishwa kutumia...
Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje .
Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni...
Bei ya madini ya DHAHABU leo Tarehe 19 July kwa kila gram 1 ni kama ifuatavyo:
■ soko la dunia gram 1 ni Tsh 280,822/=
■Soko la Tanzania gram 1 ni Tsh 252,740/=
Wewe unafikiri ni kwanini bei...
Sina mengi ya kusema ila Africa kwa madikteta, nainua mikono 😂😂🙌
“Africa never ceases to amaze the world with how it keeps producing new dictators every now and then.”
Congratulations Africa...
Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha...
Hii hapa ritual rahisi ya kujisafisha kiroho nyumbani – salama, ya asili, na yenye nguvu ya kiroho:
---
VITU UNAVYOHITAJI:
1. Chumvi ya kawaida au ya baharini (chumvi huchukua nishati hasi)
2...
Hello habari njema kwa wana JF wote na leo hii naandika hii thread nikiwa kama mmojawapo wa wahanga ambao nishawahi pitia hiki kitu unakuta kuna wakati mtu anakuwa na shauku kubwa ya kuanza jambo...
Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe.
Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa...
Waumini wa Kanisa la ufufo na uzima waonekana wakivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.
Inaelezwa Askari walifika jirani na kanisa...
Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.
Askari walifika jirani na kanisa...
Katika maisha haya ya dunia, tunaishi kwa haraka, tukikimbiza ndoto na matarajio yasiyoisha, lakini mara nyingi tunasahau jambo moja muhimu: Maisha ni sasa, sio kesho, wala si jana.
Tunatumia...
1. Dunia Haina mfalme wa milele, Kila Kitu au jambo ni kwa muda tu.
2.Usiishi kwa mashindano ishi Maisha Yako
3. Mali au kitu unachomiliki Kuna watu walikua nacho, kabla yako.
4. Unapokua na...
Unakuta mtu ni shabiki wa mpira lakini huo mpira wenyewe anaoshabikia haujui.
Timu yake ya ulaya inafungwa hadi goli nne tano wengne had sita lkn anasema huo ndo mpira
Lakn ikitoa sare tu timu...
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeeleza kuwa nauli ya mabasi ya mwendo wa haraka itaendelea kuwa shilingi 750 hadi pale watakapojiridhisha kuwa changamoto zote za usafiri huo...
Wanasayansi wa mazingira wa kimataifa wameitaka Mamlaka ya Uwekezaji ya Zanzibar (ZIPA) kuhamisha ujenzi wa hoteli ya kifahari ya nyota tano kutoka Hifadhi ya Msitu wa Ngezi, Pemba, wakionya...
Ni kweli mnatoa dawa kulingana na hali ya mgonjwa, lakini mmezidi kiasi.
Kila mtu akienda clinic anarudi kabadilishiwa dawa! Mmeshindwa kupata dawa za kumstabilize mgonjwa hata miezi sita au...
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO), Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) na Shirika la Chakula na Kilimo (FAO), imezindua rasmi mradi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.