Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,738
- 42,830
Mwanakijiji wa kijiji cha Mawa, kata ya Hanga wilayani Namtumbo, amefunguka kuhusu Padre Camillius Nikata wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, aliyepotea tangu Oktoba 9.
Mwanakijiji huyo amesema kuwa alimkuta padri akiwa amedhoofika na kumsaidia kwa kumpa maji kabla ya kumtoa msituni.
Mwanakijiji huyo amesema kuwa alimkuta padri akiwa amedhoofika na kumsaidia kwa kumpa maji kabla ya kumtoa msituni.