Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada hii tata; Ipo hivi, mwanzoni mwa mwezi Septemba nilichacha sana kifedha ikabidi nifanye re-installation ya App moja ya mikopo na kuchukua...
6 Reactions
87 Replies
3K Views
Waiting to Be Perfect ,You will end up doing nothing.
2 Reactions
5 Replies
342 Views
Andiko hili ni kwa hisani ya ndugu Vareliano Ulrick Mtundu "..........mfalme akamwambia Yeremia, nataka kukuuliza neno, nawe USINIFICHE neno lolote. Basi Yeremia akamwambia Sedekia, kama...
2 Reactions
2 Replies
297 Views
Gari ni hitaji la msingi sana asikwambie mtu. Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba. Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kujenga...
95 Reactions
271 Replies
12K Views
Habari wakuu Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia. Vipi Wewe...
3 Reactions
24 Replies
700 Views
Kufuatia taarifa zinazosambazwa mitandaoni kuhusu picha jongevu mbalimbali za ukiukwaji wa maadili ya Mtanzania zikionesha baadhi ya watu wakicheza ngoma na aina nyingine za muziki zisizo na staha...
1 Reactions
3 Replies
217 Views
Hii sijui niichukulie vipi nadhani (etiquette) za kwenye mitandao zimetushinda kuna katabia fulani ka kulazimishana na Bullying ambako sidhani kama ni kazuri sana, pia tunakuwa petty sana kwa...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Habari Tanzania ! Eti lini wapendwa mtaleta Viwanda vya kuchakata Dagaa na Samaki ? Au ndio kusema mmeamua kuwaacha na mambo yao yote Kanda ziwa ? Onyesheni basi maupendo jamani. NB Masoko...
0 Reactions
16 Replies
551 Views
Tume ya Utumishi wa Umma imewarejesha kazini Watumishi 34 wa Serikali waliokuwa wamefukuzwa kazi, baada ya kubainika kuwa taratibu za kinidhamu hazikufuatwa ipasavyo, katika hatua za awali za...
1 Reactions
1 Replies
240 Views
Hakuna asiyependa kwenda na wakati,ivi vitanda ndo habari ya mjini saizi lakini je Vina ubora? kama sofa ukiinunua tu baada ya miaka mitatu minne kitambaa kinaanza kupauka na kufifia rangi yake na...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Preamble: Binafsi naamini Free market na Competition ndio inaleta Huduma Bora na Bei rahisi kutokana na kwamba watu wanashindana kugombania wateja. Ingawa kuna mambo ya Huduma naamini kabisa...
0 Reactions
4 Replies
641 Views
Pre-amble: Naongelea Dunia kwa Ujumla na Sio Nchi / Taifa Ni kawaida kwenye Ubepari kutokea tatizo la overproduction; na hili likitokea wazalishaji wanapunguza uzalishaji jambo ambalo...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Let share something iwe kama kumbu kumbu hapo baadae (4/6/2025 Wed 3:26)... Malezi ya mama wa kambo Nimezaliwa mkoani dsm Kizuiani hospital miaka ya 90 mwoshoni. Baada ya wazazi kutengana...
37 Reactions
175 Replies
9K Views
Malaigwanan Kilimanjaro waahidi kuwachagua walinda amani na mshikamano wa Taifa_ Viongozi wa Jamii ya Kimasai nchini Tanzania maarufu kama (Malaigwanan) wametoa tamko lao rasmi kwa nchi nzima, la...
1 Reactions
19 Replies
507 Views
Sina maana ya kusema maisha hayawezekaniki kabisa kwenye miji midogo lakini there is a good chance of you kutoboa ukienda nje ya mji. Mji mdogo unaweza kukufanya ujihisi salama (confort zone)...
5 Reactions
10 Replies
539 Views
"kile Chama kinashinda kwenye mitandao toka asubuhi, mchana na usiku na kazi yao ni kutukana, hawana mipango, hawana mikakati- wamegota. Mimi ninaamini katika taifa tunapaswa kutofautiana kwenye...
3 Reactions
10 Replies
316 Views
Wananchi wa Kijiji cha Karema wilayani Tanganyika, mkoani Katavi, wameishukuru Serikali chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajengea kizimba maalum pembezoni mwa Ziwa...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Otea ni jaji au wakili yupi atajitoa kwenye kesi ya Lissu? Ni swala tu la muda Kasikilizeni wimbo wa siku hazigandi.
2 Reactions
14 Replies
556 Views
1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu. 2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo). 3...
13 Reactions
74 Replies
3K Views
Habari, Wiki kadhaa zilizopita alisikika Waziri wa Utamaduni na michezo Profesa Kabudi akisema kwamba serikali kupitia wizara yake ina mpango wa kuupeleka muziki wa singeli Kimataifa. Mimi...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom