Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewaambia wananchi kwamba yeyote anayewashawishi kuandamana badala ya kupiga kura Oktoba 29, 2025, awalipe kwanza...
0 Reactions
11 Replies
423 Views
Afande teremsha bunduki, Unawatetea mbona hawakukumbuki, Unatuonea, unatupiga Mabuti, Mara virungu, mara unataka kutushuti, Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu. Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika...
49 Reactions
100 Replies
6K Views
Happening right now. Ni Fataki au milio ya nini ? Nawasilisha. Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. 🙏
6 Reactions
13 Replies
687 Views
Habari zenu, hivi hii inanitokea mimi tu au Hivi kwanini mimi nikikosa hela mfukoni kabisa au hata kwenye akaunti, napatwa na hali hii [emoji116] Naanza kuumwa kabisa, homa ya ghafla...
6 Reactions
18 Replies
680 Views
Mwaandishi wa habari Khalifa Said anawaasa waandishi wa habari kuwa daraja la kusambaza ukweli kwa wananchi ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na taarifa sahihi ili waweze kufanya uamuzi sahihi pia...
1 Reactions
3 Replies
194 Views
Marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kushinda China ila ndio nchi ambazo zipo kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi Leo nataka niongelee suala la miji China ina miji mikubwa kushinda Marekani...
24 Reactions
254 Replies
10K Views
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche amekanusha kuvuka mpaka kuingia Kenya kwa mazishi ya Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amollo Odinga. - Mamlaka za Tanzania...
1 Reactions
6 Replies
322 Views
Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na...
2 Reactions
6 Replies
286 Views
UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene...
2 Reactions
23 Replies
772 Views
Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital Anaweza kushirikiana na mimi kwenye platform za kidigital kwa kuanza kujitolea, naomba...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
06 August 2023 UWEKEZAJI KATIKA MELI MIREMBE JUDITH KUCHOCHEA MATUMIZI YA BANDARI YA DAR ES SALAAM Meli yenye uwezo wa kubeba makasha 600 iliyobatizwa jina MIREMBE JUDITH inayomilikiwa na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu, hivi ni mimi tu au wote Hivi kwanini mimi nikikosa hela mfukoni kabisa au hata kwenye akaunti, ghafla napatwa na hali tofauti Nabadilika nanza kuumwa kabisa, homa ya ghafla...
3 Reactions
14 Replies
406 Views
Hail lucifer,shemhaforash, Leo hii nimeuza roho yangu kwa pepo wa uchoyo na ubinafsi( demon of greedy( mammon ) kwa ajili ya Mali na pesa . Nilitumia kitabu cha VILE OF DARKNESS na vitabu...
13 Reactions
110 Replies
6K Views
Yer 26:16 SUV [16] Ndipo wakuu na watu wote wakawaambia makuhani, na manabii, wakisema, Mtu huyu hastahili kuuawa; kwa maana amesema nasi katika jina la BWANA Mungu wetu. Hapa tunaona nabii...
3 Reactions
1 Replies
250 Views
KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema anakishangaa chama chake cha zamani CHADEMA kwa kushindwa kusimamia malengo ya kuanzishwa kwa chama hicho. Akizungumza leo Oktoba 19...
2 Reactions
6 Replies
258 Views
Akizungumza katika Kongamano la Amani la Viongozi wa Dini mbalimbali linalofanyika Mwanza leo Oktoba 20, 2025 Mwenyekiti wa amani mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassana Kabeke amesema kuwa tunapoenda...
1 Reactions
4 Replies
229 Views
Huu ni Ushauri tu ila najua kwasababu mtu mweusi ni mnyimina mbinafsi hamtaupokea kwasababu unagusa maslahi ya fedha Ni hivi, Wafanyakazi wa serikali/binafsi wanakatwa pesa yao kila siku kwa...
4 Reactions
8 Replies
570 Views
Nauliza hivii kwa sababu serikali imewapuuza kabisa je? Mitandao kwenye nchi yetu inatumiwa na raia wasioipenda serikali Yao? Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono...
2 Reactions
6 Replies
298 Views
Back
Top Bottom