Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna usemi maarufu wa kilevi chenye kimea aina ya Safari laga. Maji rangi ya mende. Maji ya Ilala moja. Unasema SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE. Sasa hapa ni tofauti hapa ni uzi mmoja huazisha...
98 Reactions
962 Replies
151K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo Uchaguzi...
10 Reactions
10 Replies
427 Views
Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Benjamini Kuzaga, amewaomba waandishi wa habari mkoani humo kutumia kalamu zao kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa...
0 Reactions
4 Replies
225 Views
Chuo cha Tanzania Community Networks Polytechnic College (TCNPC) kimetoa wito kwa vyuo, watafiti na mashirika mbalimbali kuwekeza katika mafunzo ya takwimu na ufuatiliaji wa miradi (M&E) ili...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Christopher Andendekisye, Mkurugenzi mtendaji wa Mwanafunzi Clinic na mdau wa elimu anatupitisha kwenye utafiti kuhusiana na uchovu wanaopata watoto kwa kubeba vitabu na daftari nyingi na...
2 Reactions
4 Replies
221 Views
Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia...
0 Reactions
15 Replies
636 Views
Umejiandaaje na siku ya Uchaguzi Tar 29 Oct. Maana Hakuna mtandao wa simu utafanya kazi. Utasema unatumia VPN. Ila vpn bila data ni bure. Kwahiyo watazima internet. Watafinya calls na sms...
4 Reactions
80 Replies
2K Views
Nyundo na wenzake wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka kwa kundi huku Mahakama ikiondoa kosa la kulawiti kwa kundi kwa sababu kifungu kilichopo kwenye sheria hakitambui kosa la...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Moja kwa moja.. Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu...
13 Reactions
269 Replies
9K Views
Habari wanajamvi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, naomba kuwekwa sawa hili Jambo kuhusu wale ambao wanavuta sigara au kunywa pombe kwa Siri. Ni kawaida kuona mtu anajificha sana na hasa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Nimekutana na habari hii ikiwa imepambwa na kupendezeshwa kwa grafiki nzuri na caption ya kupendeza kweli. Yaani hiki nacho ni kitu cha kushukuru wakuu? Wakati China wanajenga madaraja ya...
5 Reactions
23 Replies
839 Views
Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Watanzania wajitokeze Oct 29, 2025 kwenda kupiga kura halafu matusi na lawama wamuachie yeye...
3 Reactions
4 Replies
345 Views
Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari...
5 Reactions
55 Replies
1K Views
Maswali Kuhusu Uchawi na majina 1. Je, mtu mwenye jina la kimungu kama Yesu, Muhammad,Michael, au Gabriel anaweza kuathiriwa na uchawi? 2. Je, majina haya yana kinga yoyote dhidi ya uchawi au...
2 Reactions
10 Replies
443 Views
Wakuu habari! Aisee mna ushauri au mawazo gani kuhusu jinsi ya Mtanzania kwenda Sweden kucheki maisha.
4 Reactions
8 Replies
554 Views
Matangazo haya yana kera sasa nimeweka bando la buku jero ile kuingia tu humu JF ingaingia na sms kwamba nimetumia asilimia 75 ya bando langu hiyo ni baada ya kuangalia tangazo humu.
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Kuna watu hamna aibu jamani, binafsi hakuna kitu kinanikata kama mwanaume mchafu. Yani mtu akikuelekezea kwapa au tupu yake usoni unaweza kupiga chafya mpaka upaliwe. Na kwa wadada, malalamiko ni...
20 Reactions
263 Replies
8K Views
Sometimes unaweza ukafeel kwa nini wenye magari wanatuchukia sana wenye pikipiki(bodaboda) the moment unaendesha pikipiki kuna ile imani kwamba hutakiwi kusimama kwenye foleni as long kuna upenyo...
7 Reactions
9 Replies
444 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…