Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote,
Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili.
Mtu kazini...
Kichaa kapewa rungu .
Tuuseme ukweli Maza hakutosha kuwa hata Mwl wa Primary .
Reasoning Capacity yake ni ndogo mnoo.
Kunamengine yanayotokea hadi unajiuliza ,hivi hadi hili nalo lilikuwa na...
INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29
Hello, important plz.
Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri...
Mbunifu wa huduma ya ‘Please Call Me’, Makate, ametakiwa kulipa Vodacom R13 milioni (Tsh 1.8 Billlion) kama gharama za kisheria
Mgogoro wa muda mrefu wa kisheria kati ya mbunifu wa huduma ya...
Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki.
Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs.
Vituo vya kupigia kura...
Tarime tujitokeze tumuokoe heche hakuna muda wa kupoteza wasije wakamuuwa
Mnajua ndugu yenu yupo wapi hivi sasa hatuwezi kufanya amani kwenye mazingira kama haya tupaze sauti tumuokoe ndugu yetu...
Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni Huduma ya "Tafadhali Nipigie"
Mahakama ya juu ya Rufaa Nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa Huduma ya...
Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public...
Tusipochukua hatua sasa. Tutaimaliza hii dunia wenyewe.. Kwako unaona ni mrija mmoja, amazing chupa moja ama kipande kimoja! Lakini umeshawahi kuwaza mkiwa 100,200 1000 na zaidi?
Wadau naomba niulize jambo. Idadi ya watanzania kwa makisio ya sensa, kwa mwaka 2025 ni millioni 67.5. wanaume ni zaidi ya millioni 30, vijana wakiwa wengi zaidi.
Idadi ya polisi kwa makadirio ya...
Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa...
Habarini waungwana....
Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani?
Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata...
Nguvu wanayoitumia Polissi kupambana na raia wangeitumia shule sasa hivi wasingekuwa polissi.
Anyway msiwalaumu sana maana 99% ni wale waliofeli shule wakakimbimbilia upolisi, hata hao wenye...