Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzuka wana Jamvi . Kama tunavyojua kawaida wabongo ni wazuri wakishambulia kutokea mitandaoni na katika real life ikiwa kwa njia ya usengenayji kwa ufupi wabongo ni 'Ignorant Cowards ' Kujikuta...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
mnalala kwa Raha zipi??
1 Reactions
1 Replies
292 Views
Wapinga Haki wote!
12 Reactions
11 Replies
787 Views
Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana. Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za...
5 Reactions
3 Replies
315 Views
Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi .. Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji...
5 Reactions
7 Replies
534 Views
Wananchi wamemtembelea kada wa CCM kwenye kiwanda chake Mwanza nakujitwalia mitungi ya gesi wakidai ni kodi zao huku wakitukana balaa.
3 Reactions
7 Replies
451 Views
watu wanaweza kumbeza mange kimambi vile watakavyo, lakini kiukweli kampeni yake ya maandamano imefanikiwa kwa asilimia kubwa sana. Kwanza amefanikiwa kutengeneza awareness kwa watoto wetu hawa...
28 Reactions
42 Replies
2K Views
Naona huko Instagram GEN Z wanadai kama watafosi arudi huyuhuyu kizimkazi basi nao watakuja na #MO29SEASON2 wanasema hiyo itakua mbaya sanaa. Chukueni hatua huyo mtu hatakiwi. KITUKO 👇👇👇👇
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Kuna tetesi kwenye mitandao ya kijamii JK kakimbilia kujificha nchi jirani ya Kenya. Hizi tetesi nimezipata Facebook ila nafuatilia kwa karibu sana kutoka vyanzo vyangu vya karibu na uhakika...
1 Reactions
13 Replies
823 Views
Ni wakati sahihi kuu tupeane update.
0 Reactions
6 Replies
367 Views
1. ADUI NO.1 wa SATIVA Huyu jamaa alistahili aondolewe kabisa kwenye utumishi wa umma hasa upolisi, ananuka damu, ananuka damu, ananuka damu, ila kwakua anafanya kazi ya watawala vizuri wakaona...
2 Reactions
3 Replies
474 Views
Tangu jana kumekuwa na ongezeko kubwa la magari ya viongozi wa kijeshi yakitokea Mpwapwa kuingia Dodoma mjini. Wiki hii nzima hali haijawa ya kawaida—magari ya polisi, Jeshi la Wananchi (JWTZ), na...
18 Reactions
94 Replies
5K Views
Ni usiku ulio gubikwa na ndoto, ndoto zilizo na matukio mengi mithilli ya maisha halisi zilinifanya nifikirie sana ila kuna hii ndoto ilichukua muda mpaka kufikiria ni nini nimeota au niliona kwa...
1 Reactions
4 Replies
456 Views
Hello habari! mimi sio mwanasiasa na silipwi na kikundi cha mtu au watu kwa njia yoyote nipo hapa kutoa ujumbe wa nyota siku ya Tar 29/10/2025. Mjumbe hauwawi!! Nimetazama nyota zitakavyokuwa...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Yule mwingereza mtanzania mwenye ngembe, nyodo, majigambo, majivuno na madharau ya hali ya juu naye inabidi atembelewe mbweni Asije kabisa tarehe 15 nov kwenye mnada wake wa vyuma chakavu. 100...
2 Reactions
18 Replies
692 Views
Leo nikiwa na pitia hoja za maandamano na mikwara ya polisi juu ya maandamano haya,nikatamani kujua uwinginwa hawa polisi,hakika nilishngaa,kwani Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, askari polisi...
3 Reactions
13 Replies
432 Views
Haiwezekani kodi zetu zitumike kununua magari na zana zingine za kuzuia uhalifu halafu inatokea watu wanaandamana leo huko Dsm na Tunduma. Kuna usaliti ndani ya jeshi la polisi. Mali za watu...
4 Reactions
21 Replies
733 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…