Uzoefu wangu leo kupokea mizigo Speedaf

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,981
3,611
Ulinganishi wa huduma ya kupokea mzigo kupitia speedaf na posta...Kwa mtizamo wangu speedaf wako vizuri inachotakiwa waboreshe huduma zao . AliExpress naona wameamua kufanya kazi na speedaf kuharakisha watu wapate mzigo mapema na Kwa haraka .Huu ni uzoefu wangu Leo nilipoenda kuchukua mzigo.

1. Mzigo unafika Kwa haraka mfano Mimi nilinunua mzigo tarehe 15 December lakini umefika Kwenye ofisi zao tarehe 24 December (siku 9 tu).Lakini ingekuwa posta mzigo huo huo ningeupata kuanzia January 14 Hadi February 14 yaani siku 30 Hadi 60 kutegemeana na shipping zenye unafuu tulizozoea.

2. Hakuna fee Ile ya posta ya 5,900 .Means ukishalipia mzigo wako online Kwa gharama zote ulizolipa yaani Bei ya bidhaa na shipping ndio umemaliza.

3. Wanadelivery wenyewe hadi kwenye anuani uliyoandika kwenye akaunti yako ya AliExpress na kukupigia simu..Kama ukipata notification kwenye tracking yako kuwa mzigo umefika unaweza kwenda ofisini kwao kuchukua mapema kuliko kusubiria delivery..it's free delivery

Changamoto zao

1. Inaonekana kufanya kazi na AliExpress Kwa Tanzania Bado mifumo Yao haiko sawa kuanzia kuwasiliana na mteja, usambazaji, computer systems etc, Bado wako chini namna wanavyoendesha kazi zao.

2. Ofisi Yao haiko wazi Kwa wateja na ni ngumu Kwa mteja kujua inapatikana wapi, otherwise uangaike Kwa njia zingine kuitafuta. HATA KAMA WANAFANYA DELIVERY HAWATAKI KUSUMBUA WATEJA KUFIKA OFISINI lakini wateja kufika ofisini kwao ni muhimu kama kukiwa na changamoto zozote ni na pia kama mteja ana haraka na mzigo wake anakuja Mara moja kuchukua. Mimi kuipata ofisi Yao ilipo ni kutokana wadau hapa wa jamii forums otherwise ngepata tabu Sana.

3. Handleing ya mizigo Kwa watu wanaodeliver sio salama Sana na inaweza sababisha mizigo kuibiwa au kupotea, hii imezungumzwa Sana na wadau humu.

Hayo ndio Mambo niliyoyaona leo wakati wa kupokea mzigo.
 
Shipping fee inaweza kuwa USD ngapi kwa mzigo wa kilo kumi?
 
Habari za umu, ivi awa speedaf je unaeza kuwatumia mzigo china kama tunavofanya kwa ma agent labda shamwaa au silent ocean., kama inaezekana je kuna mwenye anaejua delivery address yao ya china
 
Ndugu kama ulipata jibu please share
 
Ulinganishi wa huduma ya kupokea mzigo kupitia speedaf na posta...Kwa mtizamo wangu speedaf wako vizuri inachotakiwa waboreshe huduma zao . AliExpress naona wameamua kufanya kazi na speedaf kuharakisha watu wapate mzigo mapema na Kwa haraka .Huu ni uzoefu wangu Leo nilipoenda kuchukua mzigo.

1. Mzigo unafika Kwa haraka mfano Mimi nilinunua mzigo tarehe 15 December lakini umefika Kwenye ofisi zao tarehe 24 December (siku 9 tu).Lakini ingekuwa posta mzigo huo huo ningeupata kuanzia January 14 Hadi February 14 yaani siku 30 Hadi 60 kutegemeana na shipping zenye unafuu tulizozoea.

2. Hakuna fee Ile ya posta ya 5,900 .Means ukishalipia mzigo wako online Kwa gharama zote ulizolipa yaani Bei ya bidhaa na shipping ndio umemaliza.

3. Wanadelivery wenyewe hadi kwenye anuani uliyoandika kwenye akaunti yako ya AliExpress na kukupigia simu..Kama ukipata notification kwenye tracking yako kuwa mzigo umefika unaweza kwenda ofisini kwao kuchukua mapema kuliko kusubiria delivery..it's free delivery

Changamoto zao

1. Inaonekana kufanya kazi na AliExpress Kwa Tanzania Bado mifumo Yao haiko sawa kuanzia kuwasiliana na mteja, usambazaji, computer systems etc, Bado wako chini namna wanavyoendesha kazi zao.

2. Ofisi Yao haiko wazi Kwa wateja na ni ngumu Kwa mteja kujua inapatikana wapi, otherwise uangaike Kwa njia zingine kuitafuta. HATA KAMA WANAFANYA DELIVERY HAWATAKI KUSUMBUA WATEJA KUFIKA OFISINI lakini wateja kufika ofisini kwao ni muhimu kama kukiwa na changamoto zozote ni na pia kama mteja ana haraka na mzigo wake anakuja Mara moja kuchukua. Mimi kuipata ofisi Yao ilipo ni kutokana wadau hapa wa jamii forums otherwise ngepata tabu Sana.

3. Handleing ya mizigo Kwa watu wanaodeliver sio salama Sana na inaweza sababisha mizigo kuibiwa au kupotea, hii imezungumzwa Sana na wadau humu.

Hayo ndio Mambo niliyoyaona leo wakati wa kupokea mzigo.
Mkuu katika maelezo yako yote hukuweka namba zao za simu!
 
Back
Top Bottom