Kiukweli inashangaza sana mkuu wa Kanisa upo kimya. Kama haitoshi ijumaa iliyopita watumishi wote wa madhababuni waliitwa pale msasani wakapigwa beat kwamba hawatakiwi kuongea lolote juu ya huu...
Hii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub.
Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika...
Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.
Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba...
Huyu ambaye alimlaghai GSM kuwa Rais Magufuli anataka kujengewa nyumba,
Aliyetaka kupitisha biashara yake bandarini kwa kisingizio cha kusaidia meza na viti waalimu wa Dar
Huyu bwana ukimweka...
Kwa unyenyekevu na heshima kuu, sisi raia wa Tanzania tulioungana kwa amani na imani, tunatoa salamu zetu za dhati kwa Kanisa Takatifu la Roma na Kanisa Katoliki kwa ujumla.
Hatujihusishi na chama...
Wewe max Mello
Kwanini unatujazia matangazo ya mix by Yas?
Yani kila Kona mixx by Yas ni Nini hii
Mimi kama active member nasema toa mara moja
Rudisha Yale ya kubeti
Kuna taarifa ya muda mrefu kwamba Museven ana shamba la Ng'ombe ( ranch ) ndani ya Tanzania kwenye maeneo hayo ni shamba kubwa sana
inaonekana ameingia Tamaa anataka kuchukua eneo ili hao ng'ombe...
Ilikua siku ya tarehe 30 October tukiwa tu mtaani kwetu Kimara Suka karibu na kanisa katoliki la Mavurunza. Mimi nikawa nimetoka kwenda kwa Mangi shop kununua bidhaa fulani. Kabla sijafika pale...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imesema ipo haja ya kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa yenye kujumuisha wadau mbalimbali ili kufanya tathmini ya matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu na...
Good Commons imejitolea kukusanya euro milioni 1.5 kusaidia jamii mbalimbali duniani ambazo zinaunda upya namna teknolojia inavyohudumia umma. Tofauti na kampuni kubwa za teknolojia na mifumo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Tadesa Limoli [32] raia wa nchini Ethiopia na wenzake 37 wote wanaume kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria.
Watuhumiwa walikamatwa mnamo...
Asalaam Aleykhum Warahmatulaah
Ndugu zangu, hasa Waislam wallah huyu Sheikh huwa ana Mawaidha ambayo yanaweza kukupa maswali mengi lakini mengi yaukweli ndani yake kwa kulingania na yaliyoandikwa...
Maandamano haya yameweka historia mbaya sana kwa watanzania! Yamechukua roho za watu kwa watu kuuwawa, yameharibu ajira za watu, na biashara.
============
Zaidi ya Magari 34 ya usafirishaji katika...
Unakuta mtu biashara yake ni ya kawaida sana ila anasukuma ndinga za maana kumbe nyuma ya pazia anasagwa na kusaga wenzake.
Listi ni ndefu mno na ni mambo ya aibu ,kiasi kwamba hata mikono...
Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano, kinyume na hapo utabaki kuitwa Mhalifu na Tapeli
Kufika kwako kwenye maandamano kutauthibitishia uma kuwa...
Baada ya issue za maandamano kuisha na hali kuanza kurejea kawaida naona huku mitaani kwa sasa watanzania tunaheshimiana sana.
Kuna watu walikua hawatoi hata salamu kwa majirani zao ila sasa hivi...
Polisi huwa anapiga risasi maeneo ya chini kuanzia kiunoni kushuka chini ili kumkamata mharifu
Nikiangalia video za watu waliopigwa risasi nimejiriddhisha kwamba kulikuwa na snipers aka...
Tena zaidi kwa system yetu ya elimu ya Kitanzania ambayo wahadhiri wanafanya kila jitihada somo liwe gumu, yaani hata chuo kinasifiwa kwa ugumu, just imagine.
wanafunzi wengi wa vyuoni...
Wakuu,
Hii Serikali ya Samia ijitafakari sana, mpaka sasa ndugu zetu wengi walipoteza maisha kwenye Maandamano ya Oktoba 29 na idadi bado haijakamilika maana wengine ndo miili inachukuliwa na hao...