Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewakabidhi Bodaboda wa Jiji la Arusha kiasi cha Shilingi 1,200,000 kwa ajili ya kutengeneza mfumo wa kuwezesha kusajili Bodaboda za Jiji la Arusha na...
Nchi ikiwa imegawanyika..na raia wengi hawapendi mambo yanavyokwenda..na.wanakandamizwa..je? Haiwezi kua mwanya mzuri kwa maadui wa nje kupitia Humohumo kupitia kwa wananchi kuja kuingia nchi yetu...
Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 uliibua hisia tofauti kwa Watanzania. Wapo waliouona kama hatua ya kidemokrasia, lakini pia wapo waliobaki na maswali kuhusu mwenendo wake. Pamoja na hayo...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA
Wizara ya Afya imeona picha ya video inayoonesha miili ya watu ikiwa imewekwa pamoja na kuelezwa kwamba hapo ni Hospitali ya Mwananyamala, Dar es...
Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi...
Hakuna amani bila haki, au huria kidogo! Haki na amani ni kama viungo viwili muhimu vinavyofanya jamii kuwa na usawa na utulivu.
Katika kipindi cha Mtume Muhammad (s.a.w.), Uislamu ulipigania...
Inasikitisha sana ila katika asili hakuna kinachodumu bali kuna kinachozaliwa na malipo ni hapa hapa duniani.
Nitafanya kile ninachoweza ila sifanyi kile ambacho karma itanilipa bali ni kile...
Kama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo, upande migomba, upande mipapai msitu wa matembere, lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani. Ukinunua papai...
Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ...
Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano!
Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu...
Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji .
Hii...
Ni biashara ya duka genge. mwanzoni mauzo yalikuwa mazuri kidogo kidogo mauzo yakashuka sana....USHAURI...kwenye mazingira hayo bwashee si kwamba umelogwa...
Bali wewe mwenyewe umegeuza ofisi...
Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi.
Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta...
Naiona December ni mbali sana
Tuanze hata usiku huu
Nina hasira mnoo ndugu zangu
Watu milioni 65 tunawezaje kuteseka kwasababu ya vibaka wawili tu wenye uchu?
Watanzania tumevumilia this is...
Yaani hili jambo limeanza tangu muda sana!
Punde tu kukitangazwa mabadiliko ya mkurugenzi mpya wa Tanesco huwa piga uwa karagaza kutokee hitilafu ya kiufundi kwenye manunuzi ya luku.
Je hili...
Hii inatumika kwa mafundi wa ujenzi na mbao ila ni moja ya silaha isiyo mkito.Na kwa sasa zipo madukani unaweza kutembea nayo.
Teknojia ni ngumu kuzuia ila nakuja na chunvi inaweza kuwa bomu...
Hospitali za serikali ndio wasimamizi wakubwa wa vifo na wanafanya hiyo kazi wamepewa likizo kubwa ili kutovujisha habari na sababu walizopewa tokea tarehee za kukaribia uchaguzi mpaka leo...
Kama uwezi kuwa mfatiliaji wa siasa na habari za kimataifa na undani wake ukikalia udini kuona waarabu ni dini yako basi tambua ni adui zako kwa sasa afrika karne hii.
Lawama zimekuwa nyingi...
Bado hakuna usalama wala kuaminiana MPAKA tupate ukombozi epukaa kabisa kuamini MTU KWENYE maandamano hasa KATIKA vyakula na vinywaji focus na lengo nenda na vyako.
Kama ni surahs tupeane mbele...