Nini kipaumbele cha Mkutano huu wa Bunge? Nduguzanguni,mmezungumza na Wabunge wenu walipokuwa mapumzikoni ili kuwapa hoja zenu? Vipi kuhusu marekebisho ya Sheria ya Fao la Kujitoa? Tufahamishane...
Ikiwa ni dalili ya kupambana na wafuasi wa Ponda askari wa jeshi la polisi wamevalia mavazi yanayoonyesha dalili zote za "license to kill"
Wamejipanga zaidi ya mapokezi ya rais Jk na...
Upi ni sululisho sahihi wa kupunguza kero na kutokomeza kabisa usumbufu wa usafiri toka katikati ya jiji la Dar es salaam.
Je miundombinu ya reli ifanikishwe kuwa na reli ya kuelekea mbagala na...
Tanzania bado wapo watu wanaotumikishwa kama watumwa chini ya ukandamizaji wa watanzania na siyo wawekezaji hasa kwenye sekta ya madini.Kwenye makampuni ya drilling/uchorangaji kwa asilimia kubwa...
Imekuwa kama hawa wahariri wa TBC hawajasoma,,,hivi unawezaje kuandaa habari kisha baada ya kumaliza kusoma taarifa ya habari unasema TUJIKUMBUSHE KWA HABARI MUHIMU..je zile zingine ambazo huwa...
Jana tarehe 29/10/2012 Mnyama KAKAKUONA ameonekana maeneo BUNJU katika Wilaya ya Kinondoni. Wananchi walimwekea NAFAKA, SILAHA ZA JADI, MAJI na vitu vingine ili aweze kutabiri yapi yatakayo jiri...
Waislam wamepanga Maandamano ya Mani Tanzania hapo kesho hd ktk Ofisi ya Waziri mkuu kwa Waislam wa Dar Es Salaam na huku mikoa mingine ikielekea ktk Ofisi ya wakuu wa mikoa,huku jeshi la Polisi...
Leo ni mwezi wa 11 imebaki mwezi m1 mwaka huu wa 2012 uishe ili tuuingize mwaka 2013,swali sasa linakuja hapa kipi kitu cha muhimu ambacho utasema seriakali yako kimeifanya kinachokupelekea wewe...
DAR ES SALAAM, June 25 (Reuters) - Tanzania's state-run power company has announced daily 12-hour power cuts for an unspecified period because of low water levels at hydropower dams and a shortage...
wanafunzi zaidi 400 kutoka shule ya msingi Mringa,wilayani Arumeru, wamefunga barabara muda huu kumsubili rais kikwete asimame wamweleze kero zao ikiwemo uongozi wa kijiji kuuza eneo lao la...
Soma hii...
Imenibidi nijitokeze hapa jukwaani kueleza hali ya usalama ilivyo mbaya katika wilaya mpya ya Kakonko katika mkoa wa Kigoma. Wilaya hii ni kati ya zile mpya zilizoanzishwa hivi...
Tunaiomba Mamlaka inayohusika na usafiri katika Jiji la Dar es Salaam pamoja na wamiliki wa daladala kutuanzishia usafiri wa daladala Mwenge Posta kupitia tandale kwa mtogole na Mwenge Muhimbili...
Walimu ktk shule moja ya sekondari mkoani DDM wapo ktk mgomo kudai mishahara yao baada ya baraza kuu la waislamu linalomiliki shule hiyo kushindwa kuwalipa mishahara.
"source" ITV habari asubuhi...
Kama kweli hii Serikali inataka kukuza Uchumi sasa waseme neno kuhusu hawa watu wanaofungia Petrol ndani wakisubiri
Bei mpya Ukipita vituo kibao Foleni ya Vidumu na Magudulia Dah! sijui tunaenda...
Huu ni mpango unaosukwa na mafisadi katika kumkwamisha dr. Mwakyembe aonekane si lolote wala chochote,kundi hili linahusisha vigogo wa juu serikalini na watoto wao wenye kumiliki na kutoa huduma...
Habari nilizozipata punde toka karagwe ni kuwa, bomu limeua watoto 7 kijiji cha Ihanda maeneo ya Bugene. Bomu hilo liliuzwa kwenye vyuma chakavu. Leo ndipo walikuwa wanapima mzigo ili ununuliwe...
Navyojua mimi kuupandisha mji hadhi na kuitwa jiji kuna mengi yakuzingatia na ya kuangalia
Kwa hapa Arusha me nadhani bado hatujikidhi kuitwa jiji, mfano miundo mbinu,usafi,mipango mji
Rais...
Ni mbilingembilinge la kufa mtu, Lori kubwa la manispaa ya Ilala likiwa sambama na gari dogo aina ya Land Cruiser sambamba na Mgambo wa kazi waliofura ipasavyo, wanaendelea kukamata biashara za...
JE?............UNATAKA uwe mzuri mbele ya Mungu na Jamii kwa ujumla basi fanya haya....Inamisha macho yako, chunga ulimi wako, kula kilicho halali, kuwa mtwaharifu, timiza ahadi, kuwa mkarimu kwa...
Uongozi wa mkoa wa Arusha umelazimika kumleta Bongo Fleva, Diamond ili asaidie kukusanya watu wakati Rais Kikwete atakapohutubia umma wa mji wa Arusha siku ya alhamisi mchana.
Kikwete atazindua...