The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,175
Huu ni mpango unaosukwa na mafisadi katika kumkwamisha dr. Mwakyembe aonekane si lolote wala chochote,kundi hili linahusisha vigogo wa juu serikalini na watoto wao wenye kumiliki na kutoa huduma ya usafiri jijini dar ambapo inapangwa kutengenezwa ajali itakayosababisha uharififu mkubwa na maafa makubwa na hivo kuhitimisha safari ya dr. Kisiasa kwani lawama zote zitatupiwa kwake na hivo kuharibu sifa yake