Kama kweli hii Serikali inataka kukuza Uchumi sasa waseme neno kuhusu hawa watu wanaofungia Petrol ndani wakisubiri
Bei mpya Ukipita vituo kibao Foleni ya Vidumu na Magudulia Dah! sijui tunaenda wapi jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.