Rais wa Urusi Vladmir Putin amemfukuza kazi mnadhimu mkuu wa jeshi, siku chache tu baada ya kumfuta kazi pia waziri wa ulinzi wa nchi hiyo kutokana na tuhuma za rushwa.
Putin amemfukuza...
Picha na Habari na Abdulaziz video,Lindi
ABIRIA wapatao wanne wamekufa papo hapo na wengine 48 wamekimbizwa
katika hospitali ya Kinyonga,wilaya ya Kilwa mkoani Lindi,kufuatia
basi walilokuwa...
Naelekeza lawama zangu Idara ya Uhamihaji, naona kadri siku zinavyozidi kwenda idadi ya WACHINA, WAHINDI inaongezeka nasikitisha na vitende hivi inapelekea nchi yetu inakuwa kama dampo na muhimi...
Baada ya maadui wote kuisha na bila kupata ufumbuzi wa matatizo yetu sasa hivi tumepata adui mwingine mpya naye ni Kiswahili, sasa hivi Watanzania hawakitaki kiswahili wanasema ndio kinatafanya...
Wengi wa watanzania hawaachi kama walivyokuta, mfano, wakikaribishwa mezani wanavuta viti lakini wanapoondoka hawavirudishi vilivyokuwa, wakiingia uhani ndio usiseme tena, wakipanga chumba au...
Na Hellen Mwango
8th November 2012
Mpelelezi Deusdenis (43) katika kesi ya ya wizi wa zaidi ya Sh. milioni 37 za Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, amedai mahakamani kuwa baada ya kuwahoji...
Ni ktk daraja kubwa la Temi jijini hapa mchana huu iliyohusisha gari ya hiace yb abiria T 920 ADK inayofanya root yake Town to Usa river na ndipo ilipokuwa ikitokea Usa na kuacha njia na kuingia...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Balozi Khamisi Kagasheki anatarajiwa kuzindua mkakati wa utangazaji utalii wa kimataifa tarehe 15/11/2012 katika hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam...
Wanajamvi,
Hakuna ubishi wakati Zitto akiwasilisha ndo ulikuwa wakati wa kututajia orodha kusita kwake kutaja na kutaja vyeo kunatugarimu kwani muda huu haupo tena kupitia bunge na Press...
MAWAKILI wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho wanaoshitakiwa kwa tuhuma tofauti, wamelalamikia kuvunjwa kwa haki za wateja wao wakiwa rumande ikiwamo kunyolewa ndevu kwa wateja hao akiwamo Mwenyekiti...
POLISI mjini Mwanza imebaini kuwa mmoja wa watuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, alikwenda kuaga mwili wa Kamanda huyo katika uwanja wa Nyamagana...
Wazee wetu ninawaheshimu sana na ninaheshimu sana kazi zao, uzoefu wao na maarifa yao. Zaidi ya yote ninaheshimu busara hekima na utulivu wao walio wengi ( sio wote)
Ni ukweli usiopingika kwamba...
nimeona kundi kubwa la wanafunzi wa shule ya sekondari Galanos wakiandamana kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa wa tanga. Tatizo inaonekana hawamtaki headmaster wao... nitawajuza nikipata habari kamili...
Mh. Ole Sendeka anachangia hoja binafsi ya Zitto Kabwe kuhusu pesa chafu zilizofichwa ughaibuni.
Amasema kila mmoja awajibike kuwafichua walioficha pesa nje bungeni
I can't find any African Nobel prize winner in scientific field such as chemistry, physics, biology etc. Why is that? We can't blame racism since Africans win Nobel prizes in other non-scientific...
Habari zenu? naomba kujuzwa juu ya nchi ya Italy, ni kweli kuwa ni corrupt country kwasababu wananchi wake hawakulipa kodi? na ni njia zipi ambazo Italy ilizitumia ili kujiendeleza bila kodi za...
Hivi huyu waziri na wizara yake wanafanya nini kwenye ofisi za serikali? Ama ndugu yao ndio aliyenasa TMK so walienda kuchangisha hio mil 5?
BIG Shame!!!!!
Kwa wiki kadhaa sasa tz imekumbwa na msukosuko wa kidini na kusababisha mjadala mzito humu jf,,sula hili si la kubeza kwa sababu linatishia uhai na amani ya nchi.
Lakini wakati tupo kwenye mjadala...