Kama kila mmoja anawajibika kuwataje si aonyeshe mfano kwa kuanza kutaja? Mie naanza, Andrew Chenge na Dr. Idris Rashid- ushahidi SFO Report. Sasa OleSendeka nawe sendeka ushahidi wako ili uwe mfano kwa kutenda usemayo na kusema utendayo.
huyu mzee wala simwelewi wakati mwingine
naona anataka kurejesha imani yake kwa wapiga kura wake
kwa kuunga mkono hoja zinazotolewa na upinzani
kabla ya hapo hoja yoyote inapotoka upinzani wanaipinga
**** kipindi sendeka huwa huwa na mapungufu ila leo nimemkubali. Leo kaacha itikad za ccm na kasema 'NAAPA KUSEMA UKWELI DAIMA'. Kuna kangi Lugora, Ruhaga mpina nimeona wanaitaji ukweli zaid. Mh. Ole kasema wasiposhughulikiwa chama kitabomoka 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.