nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Habari zenu? naomba kujuzwa juu ya nchi ya Italy, ni kweli kuwa ni corrupt country kwasababu wananchi wake hawakulipa kodi? na ni njia zipi ambazo Italy ilizitumia ili kujiendeleza bila kodi za wananchi?