Kwa nini wabongo wengi wako hivi?!

Kwa nini wabongo wengi wako hivi?!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Wengi wa watanzania hawaachi kama walivyokuta, mfano, wakikaribishwa mezani wanavuta viti lakini wanapoondoka hawavirudishi vilivyokuwa, wakiingia uhani ndio usiseme tena, wakipanga chumba au nyumba wanaacha chafuu, akiarikwa - self-service akimaliza kula harudishi sahani alipotoa bali anaweka chini au pembeni ya kiti, baada ya kula kama ni kwa mkono hanawi na sabuni na kukausha mikono, akiajiriwa siku ya kustaafu au kuhama basi lazima aibe; na mengine mengi. Je sababu ni nini jamani?!
 
Ukiacha hilo red mengine hayo umeandika kujifurahisha tu!
Kuna watu maalum wanaoajiriwa kwa kazi hizo unazotaka kila mtu afanye!
Tuheshimu kazi za wengine!
 
Wengi wa watanzania hawaachi kama walivyokuta, mfano, wakikaribishwa mezani wanavuta viti lakini wanapoondoka hawavirudishi vilivyokuwa, wakiingia uhani ndio usiseme tena, wakipanga chumba au nyumba wanaacha chafuu, akiarikwa - self-service akimaliza kula harudishi sahani alipotoa bali anaweka chini au pembeni ya kiti, baada ya kula kama ni kwa mkono hanawi na sabuni na kukausha mikono, akiajiriwa siku ya kustaafu au kuhama basi lazima aibe; na mengine mengi. Je sababu ni nini jamani?!

Sawa MKenya tumekusoma.
 
si kweli hatuko hivy labda kama umeamua kutuchafua kwa makusudi
 
Wengi wa watanzania hawaachi kama walivyokuta, mfano, wakikaribishwa mezani wanavuta viti lakini wanapoondoka hawavirudishi vilivyokuwa, wakiingia uhani ndio usiseme tena, wakipanga chumba au nyumba wanaacha chafuu, akiarikwa - self-service akimaliza kula harudishi sahani alipotoa bali anaweka chini au pembeni ya kiti, baada ya kula kama ni kwa mkono hanawi na sabuni na kukausha mikono, akiajiriwa siku ya kustaafu au kuhama basi lazima aibe; na mengine mengi. Je sababu ni nini jamani?!
Labda unazungumzia huko kwenu Manzese, huku kwetu ni full ustaarabu.
 
self esteeem, umesema vema, lakin ustaarabu wengi hawaelewi maanake, wengine wanazani ni nyumbani tu? au katika mazingira flani tu. au akiwa na watu flani tu. sasa nature inaselect na malezi ya mtu mwenyewe, binafsi mimi mwenyewe hata nikienda kwa mgahawa lazima nikirudishe kiti mahali pake napenda ivo nimezoea hivo, ata nikimaliza kula lazima kijiko nikifunike kwa sahani ilivo ustaarabu? pia usafi wa kula mezani wengine ni balaa hawana table mana kabisaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom