Maandamano shule ya Sekondari Galanos

Maandamano shule ya Sekondari Galanos

reg edit

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
403
Reaction score
506
nimeona kundi kubwa la wanafunzi wa shule ya sekondari Galanos wakiandamana kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa wa tanga. Tatizo inaonekana hawamtaki headmaster wao... nitawajuza nikipata habari kamili wakuu
 
Watakuwa wafuasi wa kibwetere wanaenda kujichoma imani zingine bwana
 
kesho dar kuna maandamano pia, (nitawajulisha nikipata details kamili) teh teh teh
 
Hoja nyingi za wana JF, zina mwelekeo wa dini fulani, na chama fulani cha siasa. Hii ni kwa nini???????????? Tujirekebishe!!!!! Tupunguze jazba na mihemko.
 
Wanataka shehe anunuliwe viatu na serikali, sio kushindia yeboyebo zilizotoboka na kaptula jiwa.
 
Wakubwa humu mnashusha hadhi ya jukwaa hili wanafunzi wanaoandamana ni wote wakristo na baadhi ya waislamu wasiojitambua na 7bu ni kwamba hawamtaki second mistress madam MGINA NA SINGANO wanawanyanyasa kupitiliza,MKASA MZIMA ULITOKEA BAADA YA EX-HEADBOY KUTOONEKANA SKUL NIGHT NA INAVYOONEKANA JAMAA WANAMCHUKIA NDIPO WALIMU WALIPOENDA BWENINI NA KUMUULIZA DOGO ANAELALA KITANDA CHA CHINI ALIVYOWAAMBIA CJUI WAKAMCHAPA FIMBO NA TIMBWILI LIKAANZIA HAPO,ILA MKUU WA WILAYA KAENDA NA AMETOA WEEK ISHU IWE SOLVED OTHERWISE MACK MASTER KITAELEWEKA.
 
:whistle::confused2:

Wanataka msikiti labda

msikiti mzuri upo na vijana wakiislamu wanashikamana na ibada hawawezi kuandamana kwani ni kinyume na mafunzo ya dini yetu,wanajua jinsi ya kudai haki zao na huaga zikifeli wanamuachia mungu uliza Ndani miaka kadhaa umeckia mgogoro wa dini Galax.?
 
Watakuwa wafuasi wa kibwetere wanaenda kujichoma imani zingine bwana
nyinyi ndio mnaoharibu mada na kuleta udini jf jirekebishe ndugu yangu kuweni na hekima na uvumilivu
 
mack master kafanyeje tena? Nilimaliza 2005



mack master kwa sasa ni mkuu wa shule pale
ila mbona ni kiongozi mzuri tuh?
By the way wanaoleta mihemko ya kidini ni watoto wadogo tuh humu ndani wasiojua kufikiri
msocha vipi bado yupo??
 
Back
Top Bottom