Maneno ya hekima toka FB ya Amani Abeid Karume

Maneno ya hekima toka FB ya Amani Abeid Karume

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,518
Reaction score
378
Ndugu wananchi wenzangu,tunapotoka ni mbali
kuliko tunakokwenda tusikubali kurudishwa
tukarudi tunakotoka,tusimame kidete kwa
mshikamano mmoja,tuwachane na siasa za kizamani
siasa za chuki na ukabila na udini,sisi sote wamoja
tunalilia haki yetu kwa lengo moja.Tusiwasikilie wachache wenye kutaka tusipate mafanikio,ikiwa
wewe CUF,CCM mpemba au mtu wa Unguja sisi sote
wamoja,tudumishe udugu na uzalendo wa nchi
yetu,lazima tusimamie maslahi yetu sisi
wazanzibari,kwani Zanzibar huru ya kesho itaundwa
na vijana wazalendo wa leo.
 
uamsho mmesikia??? Msitake kuwarudisha watu kwenye kipindi cha sultan. Sawa??
 
Kumbe Karume yuko nyuma ya kelele za Zanzibar nchi huru...!!!!
 
Back
Top Bottom