ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 199
Tafadhali wana JF jana nilimsikia mwanasheria mkuu wa serikari kuwa ana utumishi uliotukuka. Sijui ni utumishi gani uliotukuka anaousema,kwani jana ileile michango ya wabunge ilidhihilisha kuwa si kweli. Nisaidieni