Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu Mmama mchawi kakamatwa jana usiku akiwa katika harakati za kufanya mambo yake mitaa ya Mwanza hukuu,,wananchi kidogo wamuue akaokolewa na polisi. source:mimi mwenyewe
0 Reactions
19 Replies
7K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TAARIFA KWA UMMA UTARATIBU WA KUOMBA LESENI YA BIASHARA YA NYARA (TROPHY...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WAKATI joto la kusambaa kwa dawa bandia za kupunguza makali ya UKIMWI (ARV), likiwa bado halijapoa, Mkemia Mkuu Mstaafu wa Serikali, Dk Juma Madati amedai kuwa ripoti yake inayoeleza kuhusu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wana bodi na ma great thinkers. Ndugu zangu naomba kujuzwa wageni wanapotaka kuingia tanzania wanalipia visa ya kuingia tanzania jee kwa upande wa zanzibar hili fungu la gawio la pesa za...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jumuiya ya Wasambaziji vyakula Zanzibar (ZESA) imesema vurugu za kikundi cha uamsho zimeshusha biashara za kusambaza vyakula na vinywaji kwenye mahoteli na migahawa inayohudumia watalii. Katibu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana jf jana tarehe 9-11-2012 rais alikuja Dodoma kwa ndege baada ya kutua alielekea ikulu ndogo kama ilivyo kawaida lakini ndege iliyomleta ikapaa na kuondoka, sikujua ilikoelekea lakini...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Wiki iliyopita nilisoma kwenye gazeti la nipashe kuhusu kuanza kuhojiwa kwa madaktari walioshiriki kwenye mgomo na hatimaye kusitishiwa usajili na walisema wanaanzia Mbeya. Naomba mwenye updates...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nilisoma kwenye gazeti la nipashe kuwa baraza la madaktari linaanza kuwahoji madaktari walioshiriki kwenye mgomo na baadaye kusitishiwa usajili na ilielezwa kuwa wanaanzia...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
While the government move to evict farmers and pastoralists from the Ramsar site in the designated Kilombero valley flood plain enters its second week, there is a deadlock regarding over 3,000...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Majuzi mama yangu mzazi aliteleza kwenye ngazi nyumbani kwetu na kuumia mguu wa kushoto (kwa baba na mama) na mzee hayupo yu safari then nilibidi asubuhi na mapema niage kazini nimpeleke Hospitali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna kitu kina ni kera kutokana na hivi vyombo vya habari hapa nchini hasa radio. Jambo lenyewe ni juu ya uchezwaji wa matangazo ya wadhamini kwani imekua mpaka inaboa. Unaweza ukakuta kipindi ni...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Polisi jijini Cairo nchini Misri inawashikilia wauguz wawili pamoja na daktar mmoja kwa kosa la kuuza watoto wachanga kwa watu wasio na watoto, inasemekana mpaka sasa inakadiriwa genge hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ajali mbaya ya gari aina ya Hiace na Nissan pickup na ni katika daraja la Sanawari kabla ya mataa kama unatokea town na haijaua ila majeruhi kibao! Ntawajuza zaidi kwani ndiyo naingia eneo la...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu naomba msaada mwenye CV ya mwanahabari wa zamani ambaye pia ameteuliwa na jk kuwa mkuu wa wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma,kuna tetesi alikuwa mbunge 2005-2010,jimbo gani?uzoefu wake wa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Sunday, November 11, 2012 Jumuiya ya Wasambaziji vyakula Zanzibar (ZESA) imesema vurugu za kikundi cha uamsho zimeshusha biashara za kusambaza vyakula na vinywaji kwenye mahoteli na migahawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nina jamaa yangu yuko Belgium na anataka kunitumia Tablets kama piece tano hivi. Napenda kujuwa ni njia gani rahisi na salama zaidi kwa yeye kunitumia hizo Tablets?. Asanteni wakuu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa shabiki wa muda mrefu wa vipindi vya StarTv, hasa vipindi vya jumamosi na Jumapili asubuhi vikiongozwa na YAHAYA na DOTTO Bulendu. Wamekuwa wakiendesha vipindi vyao kwa kiwango cha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu NAPE yuko hewani sasa hivi anazungumzia mkutano wa NANE.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani mimi ni muhanga wa kuibiwa kwa kweli ni karibu mwaka sasa umepita kuna mwizi alivunja gari na kuondoka na vitu muhimu sana sasa kila mahali na kila ninayemuhadithia anasema ni kwamba ni...
1 Reactions
63 Replies
61K Views
U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania Security Message for U.S. Citizens Taxi Cab Assaults in Dar November 10, 2012 Over the past several weeks, the U.S. Embassy has received many reports...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…