Ajali mbaya tena Arusha leo mchana huu!

Ajali mbaya tena Arusha leo mchana huu!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,498
Reaction score
3,390
Ni ajali mbaya ya gari aina ya Hiace na Nissan pickup na ni katika daraja la Sanawari kabla ya mataa kama unatokea town na haijaua ila majeruhi kibao! Ntawajuza zaidi kwani ndiyo naingia eneo la tukio!

MUNGU tuepushe na ajali hizi!
 
Wanasema mwisho wa mwaka ajali nyingi hutokea. sijui kama kuna ukweli wowote.Poleni wana Arusha.
 
RIP waliokufa madereva kuweni makini ajali zitapungua.
 
kama unakumbuka kulitokea ajali hapohapo mwaka Jana!! hiyo gari imedumbukia mtoni au? kama kuna uwezekano tuwekee picha tuone poleni.
 
Mbona hiyo ilikua alhamisi nilipata baada ya yenyewe kupata ajali, au kuna nyingine? Na ilisemekana haijaua though gari ilikua imeharibika vibaya sana
 
Very sorry. elimu kwa watumia barabara iongezwe kwa kweli
 
kama unakumbuka kulitokea ajali hapohapo mwaka Jana!! hiyo gari imedumbukia mtoni au? kama kuna uwezekano tuwekee picha tuone poleni.

Itakuwa siyo daraja la mto Nduruma bali lile la Sanawari kabla hujafika PCCB nadhani. Chanzo cha ajali ni nini LiverpoolFC????
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa hv Mkuu ni kwamba kilichotokea ni kwmb kulikuwa na hiace iliyokuwa inatokea hapo kwenye mtaa stendi ya CEDHA na ndipo ikataka kuchukua abiria pale darajani na ndipo nyuma yake ikawepo Nissan pickup Hydtop inayoendeshwa na Wachina na ndipo wale Wachina wakapoteza mwelekeo na hapo hapo wa gari waliokuwa nao ikadumbukia darajani na ndipo Wachina wakaonyesha uzoefu wao wa mazoezi kwa kuruka na kuacha gari likadumbukia darajani! Naedit heading!

mkuu hiece ilikuwa inatokea wapi?
 
Sospeter muongo again!! Kwa hiyo wale watu watano walifia kwenye ajali nyingine tofauti na hii?? Kuwa muungwana kama maswi!!kiri umesema uongo na uombe radhi mara moja,nchi hii bwana! Maswi mwongo,pinda mwongo,jk mwongo,mhongo mwongo,liverpool wa jf naye mzushi!!sjui nimwamini nani sasa.
 
Filipo popote pale ulipo hebu weka zile picha kwani simu yangu imegoma kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom