MWENYE CV YA DC wa Kibondo ndugu VENASI MWAMOTO.

jembe la kigoma

Senior Member
Mar 23, 2012
119
19
Wakuu naomba msaada mwenye CV ya mwanahabari wa zamani ambaye pia ameteuliwa na jk kuwa mkuu wa wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma,kuna tetesi alikuwa mbunge 2005-2010,jimbo gani?uzoefu wake wa kazi,kwani kama ni kazi aliyotumwa na JK kurudisha imani ya wanaKibondo anaifanya kweli,achilia mbali mgogoro wake na mbunge wa Muhambwe ndugu Felix Mkomali.
 
Jimbo lake la ubunge lilichukuliwa na Prof. Peter Mohammedy Msolla, kabla ya hapo alikuwa dalali, au mkurugenzi mmojawapo au mmiliki mmojawapo wa majembe action mart , wauzaji wa nyumba za wateja wanaookopa benki halafu wanashindwa kulipa.
 
CV yake itakusaidia nini?angalia uchapakazi wake kama ana deliver ama la!CV haifanyi kazi maana ukianza kutaka CV utakesha bila kupata unachotaka!
 
Cv ni wasifu wa mtu kwa muhtasari sana. Ukitaka kumjua mtu lazima kwanza upate wasifu wake,hata huyo jk kama ingekuwa si kupata wasifu wahuyo mkuu wa wilaya basi asingelimteuwa. Kwahiyo wasifu wa mtu kiongozi kama huyo kama hautopatikana basi hilo nalo ni tatizo.
 
Jimbo lake la ubunge lilichukuliwa na Prof. Peter Mohammedy Msolla, kabla ya hapo alikuwa dalali, au mkurugenzi mmojawapo au mmiliki mmojawapo wa majembe action mart , wauzaji wa nyumba za wateja wanaookopa benki halafu wanashindwa kulipa.

Najua alishawahi kuchezea majimaji na Yanga, ila yeye ni KCC (Kima Cha Chini cha elimu I.e. ni darasa la saba)!
 
Alikuwa analima kijijini Mazombe,kilolo district kabla ya JK kumpa fadhila ya ukuu wa wilaya
 
Kama anachapa kazi hilo ndilo la maana. CV hasa makaratasi ya shule siku hizi wengi wanaiba mitihani na wananunua vyeti.
 
Yupo katika hawa......mtafuteni wenyewe

Majimaji+Zamani.jpg
 
Cv ni wasifu wa mtu kwa muhtasari sana. Ukitaka kumjua mtu lazima kwanza upate wasifu wake,hata huyo jk kama ingekuwa si kupata wasifu wahuyo mkuu wa wilaya basi asingelimteuwa. Kwahiyo wasifu wa mtu kiongozi kama huyo kama hautopatikana basi hilo nalo ni tatizo.
Sielewi CV unaitakia ya nini wakati mtu ameshaajiriwa na JK. Kama unavyojua uDC wa Tz hauhitaji sifa wala uzoefu, tofauti na uDC wa kikoloni ambao sifa ya kuupata ni digrii toka Cambridge, Oxford au Trinity College ya Ireland.
 
Jimbo lake la ubunge lilichukuliwa na Prof. Peter Mohammedy Msolla, kabla ya hapo alikuwa dalali, au mkurugenzi mmojawapo au mmiliki mmojawapo wa majembe action mart , wauzaji wa nyumba za wateja wanaookopa benki halafu wanashindwa kulipa.

ha ha CCM kiboko, mweee mbaka madalali?? si kuna yule DC nae tapeli wa morogoro? jamani
 
Tz was formed in 11964 by unifying the Indian Ocean Islands of Zimbabwe and Pemba-Philip Mulugo-Deputy Minister for Education!

Mkuu Tbag Hatari signature yako imenivunja mbavu ,hii si imetokea juzi tu? lol
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hujatuambia mpango wako, Adui yako muombee njaa, Maana najua inawezekana kapita anga zako,
 
huyu bwana anmepeta U NEC kupitia wilaya ya kibondo,anajianda tenaa kuchukua jimbo bt its too late,huyu alimuundia zengwe liliomtingisha mbunge Felix Mkosamali wa jimbo la muhambwe baada ya kuandaa watu wa kutaka mbunge apigiwe kura ya kutokuwa na imani ,wananchi walikuwa wanashinikizwa kumg`oa Mkosamali
 
Tatizo hujatuambia mpango wako, Adui yako muombee njaa, Maana najua inawezekana kapita anga zako,najiandaakugombea udiwani,ubunge na urais kupitia CDM,

  • :target:
 
Wakuu naomba msaada mwenye CV ya mwanahabari wa zamani ambaye pia ameteuliwa na jk kuwa mkuu wa wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma,kuna tetesi alikuwa mbunge 2005-2010,jimbo gani?uzoefu wake wa kazi,kwani kama ni kazi aliyotumwa na JK kurudisha imani ya wanaKibondo anaifanya kweli,achilia mbali mgogoro wake na mbunge wa Muhambwe ndugu Felix Mkomali.

........kumbe kazi anafanya tatizo nini?
 
Back
Top Bottom