Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,503
Wakuu nina jamaa yangu yuko Belgium na anataka kunitumia Tablets kama piece tano hivi. Napenda kujuwa ni njia gani rahisi na salama zaidi kwa yeye kunitumia hizo Tablets?. Asanteni wakuu.
Tumia Fedex, ila gharama kidogo.
Hii Fedex inakuwaje and how naweza pata hii huduma. Hebu nifafanulie kidogo. Ni kitu kipya kwangu. Thanks for your precious time.Tumia Fedex, ila gharama kidogo.
Hahahahahahahaaa!! KK3 wewe mtu mzima sasa.Inatemegea ni tembe gani nyingine haziruhusiwi nchi mpaka wizara ya afya na tfda wazipitishe......
Sent from my ipad2 using Tablet.
We we we humtakia mema mwenzako atume posta ,hapo ataona manyoya tu kuku atakuwa keshaliwa zamaani tuma hizo courier kama FedEx au DHL,mimi nawaaminia DHL ingawa ni gharama lakini utapata,au ulizia kama kuna mtu anakuja huku bongo akitoka zinakotumwa mwambie jamaa atafute kama kuna mtu anakuja ili amuombe akuletee,akituma tu Posta jua hapati hata tablet mojatumia posta ya kawaida kwani wana tatizo gani mbona wako fresh tu