Wakamatwa kwa biashara ya kuuza VICHANGA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Polisi jijini Cairo nchini Misri inawashikilia wauguz wawili pamoja na daktar mmoja kwa kosa la kuuza watoto wachanga kwa watu wasio na watoto,
inasemekana mpaka sasa inakadiriwa genge hilo limeshauza takriban watoto 300,polisi wanaendelea na msako kumtafuta meneja wa zahanat hiyo,
Genge hilo huwafanyia upasuaji wanawake ambao hawatak watoto na kuuza kwa watu wanaohitaji watoto ambao huwa hawana uwezo wa kuzaa,
sosi:bbc swahili on twitter
 
Back
Top Bottom