Mwambomboli
Member
- Dec 25, 2012
- 46
- 7
Kwa wanaoangalia Futuhi watakuwa wanamjua brother K, muigizaji anayejitambulisha kama mwenyeji wa Kigoma. Hupenda kujiita tajiri wa Kigoma.
Leo hii tarehe 27 mwezi 12 nimemuona akijivunia hirizi kuwa ni utamaduni. Je huu ni utamaduni wa Kigoma kweli au mzaha tu wa watu wa Kigoma?
Maana nilisikia mmoja kasema hata panya hatapona.