Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,337
- 2,907
Nahitaji original copy ya windows 8, anayejua bei yake aniambie na ni duka gani nitaipata kwa hapa Dar es salaam. Pia kwa wale ambao tayari wanaitumia nataka nijue performance yake pia nataka nijue security yake iko stable kiasi gani, maana mimi bado naipenda xp kwasababu security yake ni mzuri.