Raila odinga atua jijini dar kimyakimya

Raila odinga atua jijini dar kimyakimya

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,958

Katika kuonyesha kuwa Dk. John Magufuli na Raila Odinga ni maswahiba kwa taarifa nilizozinyaka na ni za uhakika ni kuwa, Mh. Raila Odinga yupo nchini Tanzania kumtembelea rafiki yake kipenzi Mh. Dk. John P. Magufuli ambapo nimebahatika kupata baadhi ya picha kama mnavyoziona hapo juu. Na inavyoonyesha ziara hii ni ya kimyakimya. Pichani juu, Raila Odinga akikaribishwa na mwenyeji wake, Dk Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal One jijini Dar es Salaam siku mbili zilizopita.Na Mdau Evo Morales.
​
 
Story hii uploaded tangu jana mkuu!
 
Back
Top Bottom