Rich Dad
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 748
- 133
Sisemi kwamba mfanyakazi wa ardhi hatakiwi kumiliki ardhi. Ninazunumzia tabia ya baadhi yao kujimilikisha ardhi kinyume na taratibu kutokana na kwamba wao wanakuwa na advantage ya kupata information sahihi mapema zaidi juu ya miradi mbalimbali.
Na kinachofanyika ni wao kuwahi eneo husika mapema zaidi, na kuwashawishi wananchi wawauzie ardhi kwa bei sawa na bure ( at a give away price). Baada ya hapo vikipimwa wanauza kwa bei ya juu sana. Na utakuta kuna mtu mmoja anamiliki viwanja hata zaidi ya ishirini.
Je, sheria inasemaje?