tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 115
Chama cha wananchi CUF kinafanya mkutano wake wa kufungua mwaka jioni hii, wazungumzaji wakuu katika mkutano huu ni mbunge wa Lindi mjini (CUF) ndg Baruani na mbunge wa Kilwa Kusini (CUF) ndg -----... nitamwaga updates hapa...