silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,647
- 2,422
Nimejaribu Za**el lakini naona ni ghali mno. Jee kuna mtandao mwengine rahisi wa kupiga simu kenya ndugu wananchi?

mtandao rahisi kupiga simu kenya ni vodacom ukifuatiwa na airtel
Ahsante mkuu