Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), in 2010 licensed three Multiplex Operators (MUX) namely; Star Media Tanzania Limited, Agape Associates Limited and Basic Transmissions...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tatizo gani linaweza kumpata mtoto aliye chini ya miaka 5 anapotumia cell phone kuongea na mtu, labda akifanya hivyo kwa siku nyingi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Utakuta mtu anaingia ktk puplic toilet anamaliza shida zake anashindwa hata kuflash, while its so easy just to press the button. Inakera saaaana
1 Reactions
9 Replies
1K Views
marais wa kamati ya siasa ya sadc inayo ongoza na rais jakaya kikwete imeshindwa kutatua mzozo wa madagascar ulio nuia kuwashawish rais wa sasa andr lajorina na mark lavaromanana kutoshiriki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu 14 wamefariki dunia katika ajali ya Fuso iliyotokea katika Kijiji cha Luguru. Gari lilikuwa na wafanyabiashara na mizigo, wakiwa wanakwenda mnadani katika Kijiji cha Mwamapalala. Chanzo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
JAMANI WADAU HAABARI ZA JIONI NAOMBA KUULIZA ETI UTARATIBU WA UJENZI WA NYUMBA KATIKA MIJI NA MAJIJI, MANSPAA PAMOJA NA NYUMBA SERIKALI NA TAASISI ZAKE NI UTARATIBU UPI UNAOTAKIWA KUFUATWA NA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Brown envelope journalism blights African mediaFri, 11 Jan 2013 15:37 GMT Source: Trustlaw // Kizito Makoye Reporters and photographers at the swearing–in ceremony of new ministers at the State...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Wadau najua mko poowa tu. Jamani mwenzenu nakumbuka enzi za mwalimu miaka ya 80 mishahara ilipokuwa inaongezwa ilikuwa haipishani sana kwa kada za juu na chini, mfn ilipotangazwa kuongeza 20% kcc...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wana jf gari hii yenye no.2133 yaombewa milion 10 kwa matengenezo pekee.Je ni matumizi sahihi ya rasilimali fedha za watanzania?,ntaleta mchanganuo huo mda si mrefu,jiandaeni.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Huwa sielewi hasa mtu anaposema maisha magumu..hawa watu wanaosema maisha magumu hutumia kigezo gani hasa'' Mfano Mfanyabiashara aliekuwa akienda kusomba manguo, simu na vifaa vingine feki toka...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Niko uwanja wa ndege mwanza ni saatisa usiku tunasubiri ndege iliyopaswa kuondoka saambili usiku.wasafiri wako hoi watoto ndo balaa hii ndo tz bwana! Mwanza to dar ndege tunaambiwa mara iko nrb...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Imetangazwa katika kipindi cha hotmix kinachorushwa na EATV Kwamba wachimbaji wa dhahabu humwagia mecury(zebaki) wanayotumia kusafishia dhahabu kwenye ziwa rukwa ambapo huwafikia samaki na kuna...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kila nikitafakari kuhusu jeshi la polisi la Tz na kulilinganisha na ya wenzetu nje, nashindwa kuelewa kama kweli Tz tuna mlinzi wa usalama wa raia na mali zake. Jeshi hili halitufai, limejaa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Matokeo ya sensa yaliyotangazwa na Mh. Rais JK Kikwete hivi karibuni yameonyesha kuwa watanzania tuko karibu 45 mil. Hili ni ongezeko la watu 10 mil. tangu sensa ya 2002 (miaka 10 iliyopita). Hii...
0 Reactions
3 Replies
349 Views
Baada ya kuibuka na hoja zisizokuwa na tija kwa taifa inayoashiria CCM kuishiwa na sera, hasa baada ya kumuuliza Dr. Slaa kama alirudisha kadi ya CCM, Mimi kama mwanaharakati huru, napenda...
3 Reactions
106 Replies
9K Views
Kuna taarifa zimekuwa zikizagaa katika vyombo mbalimbali vya habari juu ya polisi waliouawa huko Karagwe. Ukweli umefichwa kwa maksudi na lawama zinaelekezwa kwa raia. Ukweli wenyewe: Mtu mmoja...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanabodi leo hii nimeamka na nia ya kushiriki kutoa maoni yangu. Niliifungua vizuri tovuti hiyo na nikaweza kuandika maoni yangu lakini sikufanikiwa kuyatuma baada ya kuambiwa kuwa muda wangu wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
What if? I was talking to a friend a few weeks ago, and somehow our discussion got into colonialism in Africa , and how each and every colonized African country just can't seem to shake off the...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Leo hii kila kukicha tunaishindikiza serekali kwamba itoe uhuru zaidi wa kuongea na kutoa maoni kupitia vyombo vya habari. Tunailaani serekali ya JK kwa kutunyima uhuru wa habari. MOAT, JUKWAA LA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JF! Nimewahi kuleta post ya uchafu wa barabara Namtumbo-TDR.Sasa mkandarasi katimuliwa,Barabara bado tete. Chanzo: Michuzi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…