Watu wengine wanakere

Watu wengine wanakere

princetx

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
587
Reaction score
265
Utakuta mtu anaingia ktk puplic toilet anamaliza shida zake anashindwa hata kuflash, while its so easy just to press the button.
Inakera saaaana
 
Mkuu tunatofautiana kimakuzi,hivyo sioni hajabu mtu kutokuwa mstaarabu!
 
its.true unaishi uswaz nn hao ndio bado wana tabia hiyo
 
its.true unaishi uswaz nn hao ndio bado wana tabia hiyo
Mkuu uswazi hakuna vya kuflash...vipo vilee vya sarakasi...ukishusha mzigo unaruka pembeni kupishana na maji..
 
Wengine hawajawahi kuona na kutumia hivyo vyoo.
 
Mkuu, kuna malezi, elimu, ustaarabu)mf. kuthamini kitu cha jumuia kama kitu chako mwenyewe hivi vina mattter sana katika maisha ya kila leo mf.

-Watu kupenga kamasi au kutema tema mate wakati wengine wakila.
-Kuchana chana/kuandika viti vya kwenye magari hasa daladala n.k

nadhani, ustaarabu haufundishwi..mara nyingi hutokana na makuzi, hivyo basi hata kama mtu fulani asipokwenda shule bado aweza kuwa mstaarabu tu, tuwafundishe watoto na wajukuu wetu.
 
kiteitei mm naamin hata uswaz vp ila sio vingi na je tabia ya kuandika matusi kwenye kuta za nyumba za watu mtaani kwenu wapo
 
kiteitei mm naamin hata uswaz vp ila sio vingi na je tabia ya kuandika matusi kwenye kuta za nyumba za watu mtaani kwenu wapo
Duuh! Mimi nje kuna m palm una bonge la tusi...
 
Kuna dini inafundisha ni dhambi kugeuka nyuma na kutazama kinyesi chako.
Tafakari, chukua hatua.
 
Back
Top Bottom