Kituko cha mwaka 2012 - Unafiki wa uhuru wa habari!

Kituko cha mwaka 2012 - Unafiki wa uhuru wa habari!

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Leo hii kila kukicha tunaishindikiza serekali kwamba itoe uhuru zaidi wa kuongea na kutoa maoni kupitia vyombo vya habari. Tunailaani serekali ya JK kwa kutunyima uhuru wa habari.
MOAT, JUKWAA LA WAHAHARIRI WOTE WANAIMBA NYIMBO MOJA YA UHURU WA MAONI
Lkn hapo hapo tunaishindikiza serekali kufungia vyombo vya habari vya kiislam(ALHUDA, ANNUR NA REDIO IMAAN) kwa kuwa tu baadhi ya watu hawataki kusikia kinachozungumzwa na kuandikwa.
Wanashindwa kujua kwamba kuna kundi nalo linahitaji kutaka kusikia kinachozungumzwa.

SIJUI LIPI TUNAISHINDIKA SEREKALI ITUPE. UHURU WA HABARI. UHURU WA MAONI,UHURU WA KUZUNGUMZA UHURU UPI?

HICHI NI KITUKO CHA MWAKA 2012 NDANI YA JF.
 
tunaishindikiza, serekali, hichi, nyimbo moja... No comment....!!!!
 
Wewe huna hoja hapo, umejawa na udini tu. Mbona hushangai kwa Mwanahalisi kufungiwa? Vyombo vya habari kwako ni magazeti na redio za dini yako tu? Kwako wewe vyombo hivyo vya habari havileti uchochezi kama Mwanahalisi ndio maana havifungiwi? Acha serikali hii ivilee kwa sasa maana ni wakati wao wa kulelewa.
 
Jibu kwako ni fupi tu.
Uhuru bila mipaka ni fujo, na mipaka bila uhuru ni udikteta.

Hata nchi zinaongoza kwa uhuru na haki za raia zina mipaka yake, uhuru wa kupata habari usichanganywe na uhuru wa kutoa habari za uongo na uchochezi. Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom