Tanzania Mpya
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 252
- 145
Kila nikitafakari kuhusu jeshi la polisi la Tz na kulilinganisha na ya wenzetu nje, nashindwa kuelewa kama kweli Tz tuna mlinzi wa usalama wa raia na mali zake. Jeshi hili halitufai, limejaa vituko vipya kila siku, wanaua raia, wanapora mali za raia na nchi, wanaawaacha majambazi watambe wakati wanawajua, wanawabambia kesi wanyonge, yaani wanaongoza kwa kutumia madaraka yao vibaya. Ni dhahiri jeshi hili halitufai hata kidogo, lahitaji kuvurugwa na kupangwa upya toka juu mpaka chini.
Lakini ni nani atakayelisuka tena jeshi hili kwa maslahi ya watanzania? Hivi viongozi wetu wanaliona hili?
Lakini ni nani atakayelisuka tena jeshi hili kwa maslahi ya watanzania? Hivi viongozi wetu wanaliona hili?