Wataalamu wa mionzi vipi kuhusu hii.

Wataalamu wa mionzi vipi kuhusu hii.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,907
Tatizo gani linaweza kumpata mtoto aliye chini ya miaka 5 anapotumia cell phone kuongea na mtu, labda akifanya hivyo kwa siku nyingi.
 
Najua unahisi kuna tatizo ila unataka watu wasema hakuna tatizo ili uendelee na mbwembe za kwamba mwanao anaweza kutumia simu. Ila ujue mtoto ukipenda kupita kiasi unamtafutia ulemavu.
 
Najua unahisi kuna tatizo ila unataka watu wasema hakuna tatizo ili uendelee na mbwembe za kwamba mwanao anaweza kutumia simu. Ila ujue mtoto ukipenda kupita kiasi unamtafutia ulemavu.

Siyo mbwembwe mkuu, ila nimekuwa nikikanganywa mtaalamu mmoja alisema simu za mkononi hazina matatizo kwa mtu yoyote ila tu zile ambazo zimetengenezwa chini ya kiwango. Baadaye prof. mmoja akaniambia cm yoyote ya mkononi haifai kwa mtoto under 5 yrs.
 
Back
Top Bottom