Sisi watoto wa Dar,Mabachelor Mlo wetu main ni Ugali na Mboga Ya Mayai. Na kama ilivyozoeleka Yai kiini chake ni cha Njano ila Tangia Juzi nikinunua Mayai kiini ni cha Rangi ya Chungwa (Orange) na...
Kuna nchi zimeweka ban viongozi mmoja wapo ni Makonda na wengine sasa wanaweza kuwa wapenzi wa nchi fulani mkadhani wanapenda kumbe wamepigwa ban.
Kama hii kesi ICC inaweza kukamilika mambo mengi...
My people,
Hakika hakuna ajuaye kesho yake, hata wewe kamwe usije kujikatia tamaa katika maisha kwahakika siri ipo kwa Muumba wetu.
Haimaanishi kwamba nawe utakuja kutamba na VAT laa,namaanisha...
Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
POLE
Nianze na pole kwa Watanzania wote kwa matatizo yaliyotokea October 29, 2025
VURUGU
Changamoto zilizotokea ni za kibinadamu hivyo hatupaswi kulaumiana bali tunapaswa kusamehana, kunyanyuka...
Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama...
Kwa tafiti yangu ndogo wananchi wanaitamani mabadiliko na wanaona tija ya maandamano ila wanahofia gharama zake kiuchumi na kuwaza kuwa nchi inaweza kuwekwa lockdown Kwa muda mrefu hivyo kuathiri...
Habarini za muda huu wanajukwaa wenzangu.
Nawasalimu kwa nia njema kabisa.
Naomba niongee kidogo juu ya hili suala la mwana Jf KUTORUHUSU KU-VIEW PROFILE LAKE.
Hili suala kwa kweli linaumiza...
Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi,
Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa...
Watuhumiwa 202 wa kesi ya uhaini waachiwa huru Dar na Arusha, 18 warudishwa rumande
Watuhumiwa 198 kati ya washtakiwa 216 waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uhaini, kufuatia maandamano wakati...
Ndoto hii nilishaielezea mara kadhaa katika mitandao ya kijamii Ili nipate mawazo kwa wenye uzoefu,ila niseme sijawahi kuilewa kama niielewavyo sasa maana sasa ni kama narudia mo ie flani ya...
Sababu kubwa ni njaa, unafiki, uwongo, chuki, fitna, husuda, ulafi, wizi na zinaa.
Hizi ndizo sababu zinazosababisha damu ya Habil kulia ardhini.
Mungu yupo.
Katika orodha ya watu wote waliokamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya uhaini na makosa mengine kutokana na maandamano ya 29/10/25 hakuna raia wa kigeni hata mmoja katika hati ya mashtaka...
Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D.
Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake.
Nawakumbusha Gen Z, jukumu...
Udini mwingi + Elimu Duni + Umaskini (Kipato kidogo )= Uzaliana kwa wingi
Udini kidogo + Elimu Nzuri + Utajiri (Kipato kikubwa)= Uzaliana kwa uchache...
Sherehe za maadhimisho ya uhuru wa nchi fulani ni sherehe muhimu sana kuliko sherehe zozote zile.
Sasa suala la serikali ya mama samia kuzuia maadhimisho ya sherehe hizi kama kumbukumbu ya...
Za mchana
Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme.
Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya...
Vijana wanaopokea buku saba saba naona wanaongezeka kila kukicha kwenye kila mitandao. Kodi ya mtu anaesafisha vidonda hosptalini leo hii mnawapa wapuuzi kisa kulinda madhaifu yenu.
Eze 2:7 SUV
[7] Nawe utawaambia maneno yangu, kwamba watasikia, au kwamba hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana.
Agizo alililopewa nabii Ezekieli ni kusema na Israeli waliokuwa wanaasi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.