Jirani yangu amefariki Muhimbili kwa uzembe

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
836
Reaction score
2,805
Huyu mama siku chache zilizopita alifanyiwa upasuaji akajifungua baada ya kuruhusiwa ile kufika nyumbani akaanza kuhisi maumivu makali sehemu alipopasuliwa, mean alipofanyiwa upasuaji akaanza kuhisi kuna kitu kinachoma kwa ndani na maumivu makali ikabidi wamrudishe Muhimbili

Ile kurudiashwa wakamfanyia uchunguzi, majibu yakatoka waliomshona walisahau kitu ndani kama kimkasi wakakishonea huko bwana.

Ikabidi ufanyike upasuaji mwingine kukiondoa na hapo think kuna kidonda juu, ile kupasua tena kukiondoa mmewe na ndugu wapo nje saa 8 wanauliza tu vp ndugu yetu huko majibu kuja kutoka ameshafariki

HIzi hospitali ukipata mwanasheria mzuri unaweza fidiwa mabilioni.
 
Guys mtafute Mbunge wako guys. Guys tupo bize guys
 
Hakuna kuchezea pesa za umma kijinga.

Mkosaji alipe au auwawe.
 
Hivi kweli wewe ni bikira tusnzie hapo kwanza
 
Kwani wamekatazwa kufungua mashtaka?
 
Mada ipo seriously ila uko chini umeboronga... Aisee

RIP.... Innalillah wainnaillah rajiuun
 
Huyu mama siku chache zilizopita alifanyiwa upasuaji akajifungua baada ya kuruhusiwa ile kufika nyumbani akaanza kuhisi maumivu makali sehemu alipopasuliwa, mean alipofanyiwa upasuaji akaanza kuhisi kuna kitu kinachoma kwa ndani na maumivu makali ikabidi wamrudishe Muhimbili

Ile kurudiashwa wakamfanyia uchunguzi, majibu yakatoka waliomshona walisahau kitu ndani kama kimkasi wakakishonea huko bwana.

Ikabidi ufanyike upasuaji mwingine kukiondoa na hapo think kuna kidonda juu, ile kupasua tena kukiondoa mmewe na ndugu wapo nje saa 8 wanauliza tu vp ndugu yetu huko majibu kuja kutoka ameshafariki

HIzi hospitali ukipata mwanasheria mzuri unaweza fidiwa mabilioni.
hii inaweza tokana na kufanya upasuaji kwa mazoea,,hivi vifaa huwa vinatakiwa vihesabiwe kabla ya upasuaji na kuhesabiwa tena kabla ushonaji wa mwisho haujafanyika.
 
Huyu mama siku chache zilizopita alifanyiwa upasuaji akajifungua baada ya kuruhusiwa ile kufika nyumbani akaanza kuhisi maumivu makali sehemu alipopasuliwa, mean alipofanyiwa upasuaji akaanza kuhisi kuna kitu kinachoma kwa ndani na maumivu makali ikabidi wamrudishe Muhimbili

Ile kurudiashwa wakamfanyia uchunguzi, majibu yakatoka waliomshona walisahau kitu ndani kama kimkasi wakakishonea huko bwana.

Ikabidi ufanyike upasuaji mwingine kukiondoa na hapo think kuna kidonda juu, ile kupasua tena kukiondoa mmewe na ndugu wapo nje saa 8 wanauliza tu vp ndugu yetu huko majibu kuja kutoka ameshafariki

HIzi hospitali ukipata mwanasheria mzuri unaweza fidiwa mabilioni.
Waziri wa Afya ni nani vile?
 
Apumzike kwa amani jirani yako. Nchi hii imeoza kila sehemu. Ni kila mtu na lwake. Hapo si ajabu waliofanya huo upasuaji ni wanafunzi!
 
Waziri wa Afya ni nani vile?
Mume wa BBW Wanu!

IMG-20251117-WA0081.jpg
 
Back
Top Bottom