Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiwa ni masikini unakutana na adha mbalimbali kutokä kwa ndugu zako. Nyingi zinafedhehesha na kuumiza hisia. Yaani hata Ndugu wa ukoo hawakushirikishi vikao wala kukuomba msaada. Sana sana...
46 Reactions
87 Replies
12K Views
Hapo vip! Unajua hii dunia haishi viroja Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeona andiko moja iliyoandikwa na mwanajeshi eti akisema wanazuruzurishwa mjini na mapolisi ndio wakubwa zao. Eti...
36 Reactions
64 Replies
3K Views
VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KATAVI VYASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama Oktoba 3, 20205 wamefanya mazoezi ya...
1 Reactions
14 Replies
647 Views
Wachaga hoyee, nyie ni watani wangu mmemzaa mama yangu, kama vipi njooni na Chama kipya achaneni na CHADEMA, kwani sh ngapi Mh Mbowe wewe umezaliwa na kipaji cha Siasa, yaani ipo kwenye damu...
4 Reactions
38 Replies
625 Views
Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi...
0 Reactions
4 Replies
205 Views
Ilikuwa tar 28/11/2024 nilikuwa nimeamka vizuri kabisaa Baada ya kunywa chai nikaelea kazini kwangu nikiwa njiani nikapokea simu kutoka kwa wateja wangu wa muda mrefu wa soya beans kutoka Dar...
23 Reactions
121 Replies
8K Views
Assalam aleykum jami'ya, Tumsifu Yesu kristo. Dunia nzima kila kiumbe kinahitaji Uhuru, Amani na utulivu. Lakini kubwa zaidi tuangazie Uhuru. Uhuru ni nini? Kwa definition fupi ni kwamba...
1 Reactions
0 Replies
209 Views
Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano -Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu -Mshika mawili moja humpokonyoka...
2 Reactions
12 Replies
504 Views
Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa serikali itamalizana na kila mtu kwa uwazi siyo kupitia wawakilishi wa upinzani na wanaharakati ambao wanapokea bahasha na kupotea...
2 Reactions
2 Replies
160 Views
Kusema naogopa Sana kumlea mtoto wangu Dar es salaam sikumaanisha classes but both of them wapo hatarini na anything can happen. Juzi Kuna sehemu nilikua nimeenda but wonderful enough nilikutana...
3 Reactions
12 Replies
454 Views
Tanzania tuna vyombo vya ulinzi na usalama takribani 6 na tuna idara saidizi za ulinzi na usalama kadhaa. Kila chombo kiko huru kujisimamia ingawa vyombo hivi hutegemeana. Wakati mwingine chombo...
1 Reactions
13 Replies
683 Views
Kulikoni tena sasa hivi Dada yenu anafokafoka? Anadai kachoka kuwaelimisha kutwa, anataka msaidizi na anaumwa umwa huku Kifua kikimbana pia? Na leo sijui jana Kawanangeni kweli kweli mnaomuamini...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
https://twitter.com/zoomafrika1/status/1994862038506770487?t=V_qoOnNQgqWPKW4hDFq9qw&s=19
0 Reactions
8 Replies
204 Views
Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa...
4 Reactions
5 Replies
235 Views
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa ametembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya...
3 Reactions
17 Replies
320 Views
Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Huu ni udhalilishaji mkubwa wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MAFWELE ilivuja SAUTI akiongea na Polisi kuwa wamewakamata Wanajeshi watatu wwnasapoti Maandamano ya #MO29 na kwa maelezo yake wale...
2 Reactions
6 Replies
415 Views
Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana...
3 Reactions
9 Replies
535 Views
The Embassy expresses deep concern about the violations of human rights that took place in Tanzania recently. The right to life is an undisputable human right, to be protected by all. We call for...
5 Reactions
5 Replies
232 Views
Back
Top Bottom