Mwandishi wa chombo cha habari CNN mwenye uraia wa kenya Larry Madowo ameshare baadhi za ujumbe anazotumiwa DM za matusi na vitisho baada ya kuchunguza na kuripoti mauaji ya kikatili ya...
Kwa yaliyotokea,
Nilitegemea kuna baadhi ya watu wangekataa teuzi ili kuonesha hawakubaliani na yanayoendelea kupitia serikali hii hivyo kuonesha uzalendo.
Kukaa kimya na kufurahia teuzi...
Hii Serikali haramu.
Ni haramu n inaendeleza uharamu wake kila siku kukicha
Huwezi kuendeleze undugu kwa kiasi hicho na huo ni mfano mdogo.
Tuu ni ndugu wangapi wako kwenye mfumo kisaa tuu...
Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ?
Siku moja nipo saloon
Alifiki binti m,moja
Baada ya kuketi
Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi
HER > GOOD MORNING DADY...
Wakili na mtetezi wa uhifadhi wa misitu, Rahima Njaidi, ametunukiwa Tuzo ya Tusk ya Uhifadhi wa Afrika ya 2025 kutokana na mchango wake mkubwa katika kuimarisha uhifadhi unaoendeshwa na jamii...
Amkeni Watanganyika
Tafakari hali yetu ya sasa: Taifa letu limeuzwa, tumechukuliwa mamlaka ya kumchagua au kumuweka kiongozi. Sasa tuna watu ambao hatuwataki wala hatukuwachagua.
Haki hii...
Wafanyabiashara zaidi ya 200 wanatarajiwa kushiriki maonesho ya ndani katika Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki (East Africa Commercial and Logistics Center – EACLC) yanayotarajiwa kufanyika...
Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo?
Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to...
Nilipata matatizo nikaondoka kazini bila taarifa kwa mwajiri wangu.Kilichofata mwajiri akanifuta payroll. Baadae nikapata kazi nyingine ya serikali kwenye taasisi nyingine..lakini ishu ikaja...
Kwenye maisha watu ni mtaji muhimu sana.
ISAYA 43: 4
Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa...
Leo, saa 5 Hvi asubuhi, Kitongoji Cha UKWAMA,kata ya Mapogoro, wilaya ya Mbarali-MBEYA saa 5 Hvi asubuhi, Kuna land cruiser ikiwa umbali wa 300m hvi from S/MSINGI UKWAMA ikarusha "DRONE" had...
Kun mambo kadhaa sana yanafikirisha sana kuhusu jeshi letu la wananchi
Raia anauwawa mbele yake bila hata kumlinda maana yake naye ni sehemu ya mauaji.
Maelekezo yanatolewa zaidi na jeshi la...
Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale.
Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2...
Kumezuka mtindo wa viongozi wa TANZANIA kukana biashara zao hadharani na kujifanya hawana biashara ati wanategemea mshahara wa serikali
Mtu hawezi kuishi Kwa mshahara tu hata ungekuwa kiasi Gani...
Kituo kipya cha abiria katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kimekamilika kwa asilimia 98 na kimekusudiwa kuanza kufanya kazi, ikiwa ni maendeleo muhimu katika miundombinu ya usafirishaji wa mkoa...
Kwahiyo wewe Lulu unataka kutuambia kwamba kila mtu angeomba msamaha angesamehewa?
Lakini pili wewe si unajifanya mpambania wananchi kama ulikuwa unasema vilivyo na maslai ya wananchi kwanini...
Habari wana JF nataka kufahamu kama kuna changamoto yeyote kwenye mtandao wa twitter X
! Maana Nafungua lakini inagoma, kama kuna mfungo wa huu mtandao naomba maelezo kutoka kwa wale watumiaji wa...
Sustainable strikes and demonstration katika nchi za third world countries ni ngumu sana kwa sababu raia wengi hawawezi ku-survive kwa siku zaidi ya tatu bila kutoka nje kuenda kutafuta daily...
hali ilivyo trh 29 na 30 October kwako uliwezaje kusavaivu(survive) je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri?
Mimi nilipangiwa kusimamia kituo cha kupigia kura pale mnazi 1, lumumba tulifika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.