Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na...
Habarini Wakuu,
Arusha yameanza matukio ya vita ya mawe kwa risasi kati ya Raia na Polisi.
Asubuhi ya leo katika hospitali ya Kaloleni amekuja askari anayevuja damu akiwa ameumia vibaya sana...
Ripôti mpya iliotolewa na shirika SWISSAID imeonesha kuwa nchi ya sudan Kusini huzalisha tani 5 ya dhahabu kila mwaka, lakini hakuna dhahabu inayorekodiwa au kusafirishwa kwa njia halali, hii...
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.007 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24...
Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama...
Inanishangaza kabisa kuona kila kazi ina vazi lake na hutumika mahala pake. Pamoja na kazi nzuri za mavazi ikiwepo kustiri mwili, kupendeza ,kutunza joto, mavazi hayo yakivaliwa hayana uhiari na...
Mwigulu: Rais Samia ameagiza Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema Rais Samia amelielekeza Jeshi la Polisi kusitisha kumtafuta Askofu Josephat...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu...
Mwanamke mmoja aishie nyasaka jijini Mwanza amekutwa kajinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kumpoteza mumewe ambaye alipigwa risasi tarehe 29 October na kufariki.
Mwanamke huyo ameacha...
Wakuu, Kuna mjadala ulikua unaendelea mahali huku mtaani, tulikua tunajadili kuhusu ubora wa majeshi ulimwenguni. Jamaa mmoja ambae ni mstaafu wa jwtz akasema kwamba kwa experience yake ya kukaa...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa maelekezo kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) nchi nzima kuhakikisha hakuna foleni zisizo na sababu zitakazokwamisha na kuzorotesha...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa miezi miwili kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta kama mkataba unavyosema la sivyo serikali itauvunja na...
"
Je, wewe kama kiongozi umetengeneza mazingira salama kisaikolojia kwa watumishi wako — mazingira yanayowapa ujasiri wa kutoa mawazo, kuuliza maswali, na kukosea bila kuogopa lawama?" — Omar Mjenga
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Tulikuwa tunamcheka ayatollah kuwa anaishi kwenye mashimo kama panya
Lakin angalau yule mzee wa kipesian ana maadui kutoka nje
Huyu wa...
Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa.
Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema bara la Afrika linaweza kushuhudia mapinduzi zaidi, hasa kutokana na mtindo wa vijana wa kizazi kipya, maarufu kama Gen Z kuonyesha nia ya kupindua tawala...
Kwa maoni yangu, kutokana na watu mbali mbali nliokutana nao hapa bongo, naona kama uwezo wetu wa kufikiri kama nchi upo chini sana. Hivyo basi, hata ungesema ufute kazi watu wote wa idara nyeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.